Wana jf mnayoyasema na michango mnayoitoa ndivyo mlivyo au tunadanganyana??

Wana jf mnayoyasema na michango mnayoitoa ndivyo mlivyo au tunadanganyana??

sio yote yanayosemwa humu ndio uhasilisia wa watu huko nje..
mengine watu wanasema tu
 
Ingetokea nikakutana na member wawili ama zaidi ningeweza kujua uhalisia wao na kile ambacho wanaandika humu especially wale wanaotoa stories za maisha waliyopitia ama kuyaishi.
 
Btw refar in this world everythin created in PAIR ! It will be either TWIN!
So far palipo na FAIDA na HASARA ipo!
Kama ambavyo MCHANA vs USIKU, PEPONI vs MOTONI.
JUA vs MWEZI.
TAMU vs CHUNGU.
MAJI vs MOTO.
MASKINI vs TAJIRI.
MWANAMKE vs MWANAUME.
Etcetera.
and there is always a dark side to every human nature.
 
Back
Top Bottom