Wana jf mnayoyasema na michango mnayoitoa ndivyo mlivyo au tunadanganyana??

choo cha kiume ndo chanihusu au wataka niingie cha kike????????????//
 

bora yako umemfanyia maombi!! Atakuwa mtu mpya sasa!!!
 
amenibadilisha kweli sio siri badae ntarudi na ushuhuda kwa wana jf
 
we acha tena zile za kimasai anayekimbizwa na simba na rungu lake mkononi afu ndani hana kitu shuka tu lapepeaa!!

Na hv mikurumbwizo yao hawaiweki kwenye pichu bas patamu hapo.....lol
 
naskuru king kong iii kwa maombez yako jf kuna faida sana

Btw refar in this world everythin created in PAIR ! It will be either TWIN!
So far palipo na FAIDA na HASARA ipo!
Kama ambavyo MCHANA vs USIKU, PEPONI vs MOTONI.
JUA vs MWEZI.
TAMU vs CHUNGU.
MAJI vs MOTO.
MASKINI vs TAJIRI.
MWANAMKE vs MWANAUME.
Etcetera.
 
Mhh... Hii sala ndo ile ya mchungaji ambaye nanilihii yake inatoa maji ya utu na uzima ikinyonywa nini?


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hehehe! Ujue unachakachua lisired la watu!! Nafanana na zombie!!!
Ney maa hana tatizo bhana,kama umefanana na zombi mi ndo single kwenye zombies sasa why tusielwane mazombies?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…