Wana jf mnayoyasema na michango mnayoitoa ndivyo mlivyo au tunadanganyana??

sio yote yanayosemwa humu ndio uhasilisia wa watu huko nje..
mengine watu wanasema tu
 
Judgement aliniita mcharuko haki ya nani nitamsemea.
 
Last edited by a moderator:
Ingetokea nikakutana na member wawili ama zaidi ningeweza kujua uhalisia wao na kile ambacho wanaandika humu especially wale wanaotoa stories za maisha waliyopitia ama kuyaishi.
 
and there is always a dark side to every human nature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…