FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Naona huyu hajawaelewa wanaume. Tunayo instinct flani, mtu akijigonga head-on huwa tunahisi hata kama hajasema. Sasa inaweza kutokea mdada kajigonga kihivyo lakini mi sijamfeel kiviiiiile, kinachofuata ni opportunism. Namfungulia mlango akiingia namega hadi hapo atakapogundua kuwa feelings hazikuwa za kiviiiiile, akiamua kuchapa mwendo poa, hatugombani.
Ni kweli usemayo kaka ila huyo dada alikuwa anampenda kimya kimya hajawahi kumuonyesha hata sku 1 na yuko serious sana kiukweli kiasi kwamba hata mamen wa hapo kazn kwao wanasema anaringa
m sor jamanRose kama umemsema handsam wangu vile:dance::biggrin1:...........................
kampe tu tena umwambie vizuri
uenda jamaa nae alikuwa ashamsoma bidada so ni swala la danadana mbili tatu kitu ikishagota nyavu ataanza visa na dada atabakia na majonz
kuna dalili nying sana za kumegwa na kuachwa!!!!!
awe mwangalifu asilewe na uhandsam utamgharimu!!!!!!
Kwa mwanaume yeyote, hakuna starehe inayozidi ile ya kufanikiwa kumega demu ambaye kila mtu anajua ni 'hard to get'. Yaani nikimega wa hivyo najisikia bonge la champion, hata kama itakuwa mara moja tu halafu anipe kibuti poa tu.
OMG Mtu B nadhani zama hizo zimepita kwako rafiki..unakumbuka ulivyopata tabu ya mawazo kipindi kile.:biggrin1:
Na ni mgumu kweli kweli kwani ameshasema hana mpango wa kuongeza mwanaume mwingine katika list waliopita wanatosha
Usinkumbushe dadangu! Lakini imenifanya pia nikaiamini sana kondom. Hapa sasa hivi sina demu, lakini mara moja moja namega wale wanaoingia kwenye 18 zangu kimtego, lakini strictly kwa kuzingatia masharti na vigezo: SSS and NSA (strictly safe sexand no strings attached).
Dah hii stori unaweza kuitengeneza script ya movie, maty swala ya yeye kwenda kwake jamaa jumamosi na kuogopa kumegwa ni hiari yake mwenyewe sababu ana uwezo wa kusema ndio au hapana kama anaenda mwambie aende halafu amsikilize jamaa atasemaje jamaa akiomba kikojoleo chake ampige chini maana jamaa atakuwa amekaa kikazi zaidi.
Hivi unawezaje kujua kama mwanaume ni rijali au sio kwa macho? nijuzeni hapo
Yaani rose huyo mkaka sio handsam ila pia sio mbaya lakini katika mahandsam huwezi kumuweka na huyo bidada anapendaga sana mahandsam ndio maana akawa anajishangaa imekuuwaje amempenda huyu gafla wakati hazimikiagi wa dizaini hizi
Kuna wanaume wana fantasy hiyo ya kupenda kumega the so called 'hard-to-get'. Yaani wako tayari kusubiri, kutangaza uchumba, na hata kulipa mahari, wakishamega wanapunguza bidii kidogokidogo (kinda weaning) hadi mdada ujitoe mwenyewe
akiomba kamdomo jee?atakuwa amekaa kimtapia mlo zaid?
UMESEMA KWELI ..AKIOMBA GAME UYO AJUE ANATAKA ASAIN TU ASEPE
truestuka hata huo unatumika siku hizi, yaani aende jumamosi halafu jamaa on the same day amuombe biolojia dah atakuwa kweli amekaa kingono zaidi
NDO KUSEMA LOVE FROM 1st sit??........hahahaaaaaaaaaa mweeeee akuna lolote bib asijijaze maupepo labda mwenzake ana gf wake uyo tena wanapendana yeye akijipeleka ata...then ataachwa !
naivi ashaonyesha malaria ya kumshobokea mkaka wa wawatu ahhhh kaka kiulain apo anafanya kufunga bao kwa kisigino....!!!
ajikaze bwana iyo kujifanya unapenda penda tu unaweza penda majin shaur zake!!!!!!!
Me wa hivyo kwa kweli hata kama atanimega na kusepa poa tu kwani hata yeye atakuwa amehangaikia sana kwani akimega ataondoka nayo?
Me wa hivyo kwa kweli hata kama atanimega na kusepa poa tu kwani hata yeye atakuwa amehangaikia sana kwani akimega ataondoka nayo?