FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Naona huyu hajawaelewa wanaume. Tunayo instinct flani, mtu akijigonga head-on huwa tunahisi hata kama hajasema. Sasa inaweza kutokea mdada kajigonga kihivyo lakini mi sijamfeel kiviiiiile, kinachofuata ni opportunism. Namfungulia mlango akiingia namega hadi hapo atakapogundua kuwa feelings hazikuwa za kiviiiiile, akiamua kuchapa mwendo poa, hatugombani.
OMG Mtu B nadhani zama hizo zimepita kwako rafiki..unakumbuka ulivyopata tabu ya mawazo kipindi kile.:biggrin1: