@Maty
it is alwasy difficult to know if someone loves for real hadi mkae pamoja na mzoeane na kusomana...
Hata tukushauri nini hapa jamvini, the truth shall come from the two after intimacy and exposure to each other
Hayo mawazo tulikuwa nayo sisi enzi zetu za 1947. Kama hamtayaacha basi mnajitafutia matatizo. Hii ni biasha ya nipe nikupe kwa hiyo suala kama hili halipo kabisa. Ukizingatia huyu dada anataka kwenda mwenyewe bila kushikiwa mtutu. Halafu ameugua miezi 6 anamtamani huyu jamaa. Kwa nini usiwaze kuwa jamaa anataka kutumiwa kumpeleka binti peponi halafu wakati huo anajipa muda wa kutafuta zile sampuli alizosema kuwa ndio zinamsubua akili yake?
Bado siwaelewi...!!!
Nashukuru wote kwa ushauri wenu jamani kiukweli nimetoka na kitu kipya leo hapa JF
m here beb matyHata mimi leo nimempa Rose Crown....:yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo:
swadakta mkuu.... kuna verse moja ya mwimbo wa westlife inasemaUmeona mzee mwenzangu eee,
Sasa hiyo nafasi ya kumfahamu huyo mtu aliyemfuniga hadi novena ataitoa wapi wakati kila saa anafikira kutotoa hazina yake? Nadhani tayari huyu dada anaweza kuwa na kiwango cha juu cha ubinafsi. Kwa nini anaweza kuwa kitu dhamani kubwa kwake ni dudu? Tena ambayo hailipiwa VAT? Napata shida kumwelewa huyo mwanamke....ooops, sorry binti!
Mimi kama mwanaume sijawahi kuomba appointment kama hiyo nikaambulia patupu....! Mwache tu aende, Jpili/Jtatu atakusimulia yaliyomtokea, tena bila ahadi ya maana....! Maana akifika huko ataambiwa; Mficha uchi hazai...! Kisha atafichua ili azae, then atatoka na matunda .....!Nina rafiki yangu jana jioni aliniita na kuniomba ushauri sasa nimeshindwa hata cha kumshauri kwani sina uhakika, ndio maana nimeamua kulileta hapa kwenu mnisaidie mawazo.
Huyu dada anadai kazini kwao alikutana na mkaka siku moja wakati wa lunch yaani ile kumuona tu akatokea kumpenda ghafla mpaka akajishangaa kwani (hata mimi najua hilo) yy anapenda sana wanaume mahandisamu halafu weupe yaani akiwaona hao moyo wake huwa unashindwa kufanya kazi kabisa. Lakini akashangaa anampenda huyo kaka kwani si mbaya ila sio type ya wale anaozingukaga nao halafu ni black lakini akavutiwa nae sana ikabidi awe anaenda kula ile sehemu kila mara ili awe anamuona tu na akaniambia alikuwa hata anasali kuomba mungu huyo kaka itokee siku amtongoze na anatamani hata ikiwezekana awe mumewe lakini haikuwa hivyo ila huwa wanapeana hi ya juu juu wakikutana. Siku zikawa zinaenda tu mpaka ikakatika miezi sita. Wiki iliyopita yule mkaka akaanza kumzoea zoea taratibu wakikutana anamisimamisha anamuuliza hili na lile wakaanza kuzoeana taratibu ila si kiviile, sasa anasema juzi yule kaka akamuomba amtembelee ofisini kwake, yule dada akaenda wakapigapiga stori yule kaka akamwambia nilikuwa natamani kuzungumza na wewe toka siku nyingi ila ulikuwa uko serious sana mpka nikawa nakuogopa, hata kukwambia uje ofisini kwangu leo niliamua kujitosa tu nashukuru umekuja wakabidilishana mawazo baadae yule kaka akamsindikiza yule mdada mpaka maeneo ya kwao na wamepanga wakutane jmosi. Sasa akawa ananiuliza hivi inawezekana wakawa wanapendana kiukweli cause kwa maelezo yake inaonyesha yule dada alikuwa anamzimikia mshikaji na mshkaji alikuwa anamzimia demu ila kila mtu alikuwa anashindwa kumwambia mwenzie ila anasema kilichomshtua jamaa kamwambia hiyo jmosi wakutane kwake (kwa jamaa) ndio akaja kuniuliza je aende isije kuwa mshkaji anataka tu kummega na yeye hata kama anampenda hayuko tayari kumegana nae halafu yaishe yaani kama hana msimamo ni bora yaishe. So naombeni mauzoefu yenu wandugu labda kuna wengine ilishawahi kuwatokea hii na ikawaje
nategemea ushauri mzuri wapendwa na si madongo
mie cwaelewi hapa, kama ni hivyo huyu mdada ashauriwe asiende, vingenevyo kama anataka kwenda ategemee lolote huko kwa huyo mkaka.
Umeona mzee mwenzangu eee,
Sasa hiyo nafasi ya kumfahamu huyo mtu aliyemfuniga hadi novena ataitoa wapi wakati kila saa anafikira kutotoa hazina yake? Nadhani tayari huyu dada anaweza kuwa na kiwango cha juu cha ubinafsi. Kwa nini anaweza kuwa kitu dhamani kubwa kwake ni dudu? Tena ambayo hailipiwa VAT? Napata shida kumwelewa huyo mwanamke....ooops, sorry binti!
m here beb maty
dark cty sema kaka
nilikuwa meeting...pole kwa kunikosa jaman
mchana ushapta sa itakuwaje?
labda nkupe cha dina dina?
ennhh???? sema bas maty km vp ntakupa cha usiku dina uipate kwa unono!!!!!
DC na ndio maana mimi nikasema hapa hakuna cha kushauri hivi mtu na akili yake anaweza akaja kukuuliza eti fulani ameniambia niende kwake jumamosi wewe unanishauri vipi niende au nisiende wakati ni mtu mzima na una maamuzi yako mwenyewe whether umegwe au lah
Mimi kama mwanaume sijawahi kuomba appointment kama hiyo nikaambulia patupu....! Mwache tu aende, Jpili/Jtatu atakusimulia yaliyomtokea, tena bila ahadi ya maana....! Maana akifika huko ataambiwa; Mficha uchi hazai...! Kisha atafichua ili azae, then atatoka na matunda .....!
swadakta mkuu.... kuna verse moja ya mwimbo wa westlife inasema
It's the heart afraid of breaking
that never learns to dance
It's the dream afraid of waking that never takes the chance
It's the one who won't be taken
who cannot seem to give
and the soul afraid of dying that never learns to live
ukiisoma hii itakuambia kabisa... hata mbegu haioti, kama haita-germinate
I am sure Maty atamwambia dada atoke sas hivi afunge virago akamchukue mkuu ampe raha... yatakayofuata ni mazuri tena hasa kama amefunga novena
m here beb maty
dark cty sema kaka
nilikuwa meeting...pole kwa kunikosa jaman
mchana ushapta sa itakuwaje?
labda nkupe cha dina dina?
ennhh???? sema bas maty km vp ntakupa cha usiku dina uipate kwa unono!!!!!
kwani ni lazma wakutane kwa huyo mkaka jamani?au mdada kaona ni golden chance akashindwa kusuggest sehemu nyingine,binafsi simshauri kwenda kwake wakutane nje ya hapo
nkitoka kwa maty kwa dark city kwa mwasu then ntaptia kwakoNa mie?
nin baba?asi cha usiku chakula jaman?Rosee Roseee....
Hebu kwenda taratibu..naona unataka kuchafua hali ya hewa.
Nimekupata baba ila nasikitika kumbe mahusiano lazima upate dudu la sivyo hayaendi mi nilidhani waweza mnyima mpaka siku ya ndoa. Kwani hamuwez kusubiri
basi asisumbue watu.... kumbe anajua anachotaka sasa anahangaika nini?eti eeee sasa dada mwenyewe alisema hataki kabisa kutoa mbunye nikimwambia si ataniona mwanga