Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

dah... nimetoka kwenda haja ndogo tu tayari sredi imefika huku???

Haya bana....

Huyo dada atake asitake lazma aachie tu zigo!!!
 
Sishauri wakamegane,ninachoshauri wakutane mahali penye privacy nzuri lkn ambayo inawajumuisha na watu wengine lkn siyo home neither guest. Ila kama anajiamini kuwa anaweza kuwa na msimamo akaresist vishawishi anaweza enda hata home.

Ushauri wako ni hatari sana. Hakuna haja ya kumpa masahka BF. Kwani kila kitu kinajulikana. Ajiandae kuwa watakutana na BF wake na ku-enjoy. Mambo yataishhia wapi ..hilo litajulikana huko huko. Ila jamaa akitaka kulazimisha basi ndiyo dada watu akatae kwa msingi kuwa things have to come naturally. Haya mengine ni kutaka kumchanganya dada wa watu.
 
Mimi nikitongoza na nikakubaliwa kinacho fuata maombi ya kumega tena siku hiyo hiyo sicheleweshi je nikifa kesho yake? utanililiaje? lazima kieleweke siku hiyo hiyo

mh! basi kazi ipo,kama kuliliwa au kukumbukwa mpaka uwe umemega:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Ushauri wako ni hatari sana. Hakuna haja ya kumpa masahka BF. Kwani kila kitu kinajulikana. Ajiandae kuwa watakutana na BF wake na ku-enjoy. Mambo yataishhia wapi ..hilo litajulikana huko huko. Ila jamaa akitaka kulazimisha basi ndiyo dada watu akatae kwa msingi kuwa things have to come naturally. Haya mengine ni kutaka kumchanganya dada wa watu.

Dark City,siyo masharti kumbuka huyu mrembo tayari ameshatia shaka kwenda nyumbani kwa mkaka,na kumbuka pia bado hawajawa wapenzi they are still friends,sasa kama anatia shaka na anaona kuwa mkaka akileta mazingira ya kumegana hataweza kuresist si bora asiende nyumbani kwake?mi nadhani hivyo
 
Una maanisha nini? Kama hawezi kuresist hata wakikutana porini au kwenye mtaro atampatia tu. Kwa maana hiyo huyo dada anaumwa!
 
yaani ulikua hujui?? huoni kwamba kuna kama multiple organz and packages involved
Yaani wewe siku hizi umechakachuliwa akili yaani kila unachopost hapa kina harufu ya rushwa ya kichumbanichumbani ! Lol
 
HUnajua kila kitu kina mwanzo wake na hata mapenzi yana mwanzo sidhani kama itakuwa sahihi kwa mdada kukubaliana na kitu ambacho ana wasiwasi nacho. Kwa nini asiombe huyo mkaka wakutane sehemu nyingine kama nyumbani kwa kaka yeye hatakuwa comfotabo? Amwambie nitakutana na wewe but it has to be in another place kwa sababu bwana vishawishi ni vingi na huwa vina nguvu hasa pale mazingira yanaporuhusu.

Ni vema akafanya kwenye sehemu ambayo ni public kwani hata mkaka apagawe vipi atajizuia kuliko mkiwa kwake chochote kikitokea asilalamike la sivyo ataulizwa ULIFUATA NINI?
 
Hivi kumbe kumega vs kumegwa mechi bado inaendelea nilifikiri mpira umeisha kumbe bado
 
ila anasema kilichomshtua jamaa kamwambia hiyo jmosi wakutane kwake (kwa jamaa) ndio akaja kuniuliza je aende isije kuwa mshkaji anataka tu kummega na yeye hata kama anampenda hayuko tayari kumegana nae halafu yaishe yaani kama hana msimamo ni bora yaishe.

Huyo rafiki yako anataka mwanaume wa kumuoa siyo kampani na huyo jamaa anataka kampani na mambo mengine ni majaaliwa. Kwa hiyo huyu rafiki yako amekwenda mbali mno hata mtu mwenyewe hamfahamu vizuri.

Ushauri wangu wewe umsindikize na huko utaweza kumsaidia kimawazo....Jamaa ukiona ana kasi ujue ajiandae kwa kampani but nothing more for a foreseeable future............She is putting a cart before the horses.......i visualize a deluge of disappointments await her very soon............
 
at the end of the day, he will lay her down on the SAME day believe me..she either quit, or GO....simple LOL
Very true,,acha tu aende atii kiu yake coz anampenda na amekuwa akitamani hiyo nafasi kwa muda mrefu so kwa lolote lile hataregret.
 
Una maanisha nini? Kama hawezi kuresist hata wakikutana porini au kwenye mtaro atampatia tu. Kwa maana hiyo huyo dada anaumwa!
Dc
Nimekubali,acha wakutane popote iwe home,guest,porini etc maadam anampenda kwanza alitamani hilo siku zote.
Namtakia heri
 
Huyo rafiki yako anataka mwanaume wa kumuoa siyo kampani na huyo jamaa anataka kampani na mambo mengine ni majaaliwa. Kwa hiyo huyu rafiki yako amekwenda mbali mno hata mtu mwenyewe hamfahamu vizuri.

Ushauri wangu wewe umsindikize na huko utaweza kumsaidia kimawazo....Jamaa ukiona ana kasi ujue ajiandae kwa kampani but nothing more for a foreseeable future............She is putting a cart before the horses.......i visualize a deluge of disappointments await her very soon............

Hivi huu utaratibu wa kusindikiza kama shield ya kukinga binti asifanye ngono bado upo?

Miaka yetu ile 1947 tulikuwa tunawasindikiza daa zetu bila hata kujua kinachoendelea tunaambulia kupewa peremende na mpira wa mablanket halafu wao wanaendelea!!

Kama bado unatumika basi hii dunia itakuwa inakwenda kinyume nyume!
 
halafu sijui ntumie neno gani hapa la uzuri anielewe MPENZI WE rafiki wa maty na hao wanaume wazuri kwa mtizamo wana mambo shaurilo ndo hapo swali lingine linapokuja kichwani kwangu kila wakati mapenzi ya kweli ni yapi?pesa ambazo leo zipo kesho hazipo,uzuri ambao unatoweka kama miti upuputishavyo maua yake tusipende sana kuangalia mambo yakupita though kuna wakati waeza kumpenda mtu kwa moyo wote na asikuthamini lakini bado hutaacha kumpenda ila itabidi umpe space afanye anayoyapenda nachokiona hapo utamegwa na mwisho siku utaishia na vidonda vya tumbo na kulalamika tu
 
Chauro,

Hivi kumegwa au kumegana/kumegeana ni kuvunja sheria?
 
Back
Top Bottom