Wana-JF, Msaada

Poise

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Posts
7,633
Reaction score
7,912
Habari wana JF.

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu.

Issue Iko hivi , binafsi sina dini yoyote hapa duniani.

Sasa naomba msaada.

Naomba Kama mnataka niingie kwenye dini-

Like huu uzi

Na endapo idadi ya likes zitafika 10,000+ katika huu uzi basi nitajiunga katika dini.

Kwa hiyo, ukiisha like huu uzi, unaruhusiwa pia kunipendekezea dini ya kujiunga.

Kama hutoi like usipendekeze dini ya kujiunga.

Asante sana naamini, mtanipatia likes zaidi ya 10, 000+ ili hatimaye nijiunge na dini mtakayo nipendekezea.

Ukarimu wenu jamani ili nijiunge dini.

Chanzo:
.Poise. (Mimi mwenyewe mwomba msaada.)
 
Likes 10000+ nani akupe?? au kama vipi nenda kwenye uzi wakupeana likes



Duuuuuuh,
Mkuu, nielekeze huo unakopatikana ili nihamishie huko mjadala huu.
 
Yan unatushurutisha tukupe likes ili uwe una dini hivi una akili wewe?

Baki na ulichochagua tusilazimishane


Unaweza kua na dini haya imani yako nayo?
 
Ukishajiunga na hiyo Dini sisi Tutapata nini? we baki hivyohivyo Tu.
 
Huh! Because people care about your soul, right?

Best wishes
 
Hivi likes huwa zinaongeza nini kwenye maisha ya kila siku? Una shughuli
 
Hivi likes huwa zinaongeza nini kwenye maisha ya kila siku? Una shughuli

Mrembo, acha hivyo.

Yaani zitanipa motivation ya kujiunga na dini.

Ujue hadi sasa hakuna like hata moja Kwa hiyo, wana JF hawataki nijiunge dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…