Wana-JF, Msaada

Yaani kwa akili hizi za kufungua Uzi kuomba likes ndo utashindana na nani labda? Ha ha yaani hii inaonesha how too low you are!!
 
Yaani kwa akili hizi za kufungua Uzi kuomba likes ndo utashindana na nani labda? Ha ha yaani hii inaonesha how too low you are!!

lusungo ,
Niliishakutana, na watu zaidi yako wanaojua negotiations na diplomacy; I have never failed, hivyo uko chini sana, "if I need to look at you I will just look on my shoes and not otherwise"

Uzi uliouleta hujui mantiki yake ndiyo maana una qoute kila comment ya member humu kwenye huu Uzi.
Hujui essence ya huo Uzi wa Dini.

Ila itoshe tu, wewe elewa kuwa NBS data zake ziko sahihi na report ya IMF ninayo iliyotoka tarehe 12/12/2017.

Natambua kuwa IMF/WB siyo msemaji wa Tanzania kuhusu uchumi wetu isipokuwa wao wanatumia takwimu hizo kutoa maendeleo ya kiuchumi ya nchi husika au wanachama wao.

Ila tambua kuwa nakuzidi kila kitu.
 
Ya IMF kayajadili kwenye Uzi wake....kwa ulichoandika hapa ni wazi wewe ni mtoto ama uliugua utapiamlo ulipokuwa mtoto!!

Then haisaidii kujitapa wewe nani nyuma ya keyboard tena unatumia anonymous ID poor you!!
 
lusungo,
Jifunze heshima ukiwa jukwaani.

Nilipo ni asubuhi ya 11:44am, ngoja niendelee na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…