Wana JF naomba tusireply wala kujiengage na threads zozote za machawa

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,147
Reaction score
2,919
Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao.

Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu. Hawa machawa watatusababishia ugonjwa wa moyo hivyo ni bora kujiepusha nao. Nyuzi zao zinawasha hasira na maumivu na wao wanafurahia wakiona tunawaka hasira kwa kuchangia hizo nyuzi zao.

Mwisho naomba tuendelee kuwaombea mashujaa wetu waliotangulia mbele za haki na Mungu awape pumziko la milele.
 
Vile wanakuja kwenye nyuzi za watu wengine na kuleta kebehi na dhihaka,..dawa ni kutowajibu chochote
 
Hiyo sio democracy na free speech lakini tutaendelea kuwapiga spana kama leo Yericko hadi ameukimbia uzi wake mwenyewe🤣🤣
 
Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao.

Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu. Hawa machawa watatusababishia ugonjwa wa moyo hivyo ni bora kujiepusha nao. Nyuzi zao zinawasha hasira na maumivu na wao wanafurahia wakiona tunawaka hasira kwa kuchangia hizo nyuzi zao.

Mwisho naomba tuendelee kuwaombea mashujaa wetu waliotangulia mbele za haki na Mungu awape pumziko la milele.
Hapana. Tusipojibu watahisi hatuna hoja.
 
Hiyo sio democracy na free speech lakini tutaendelea kuwapiga spana kama leo Yericko hadi ameukimbia uzi wake mwenyewe🤣🤣
Hivi wewe unavyodhani, unahisi Yericko hakutegemea aina ile ya comments?

Unafikiri anajali?

Watu aina ya machawa wanachoangalia wao ni engagement tu, hizo ishu za negative comments wengi haziwababaishi.

Sasa kama mtu amefikia hatua ya kuuza utu wake na kuamua kuwa chawa, unafikiri anaweza kubabaika na hizi comments zetu?

Watu ambao wanaweza kuletewa shida kwenye hizo comments ni top leaders ambao wanataka kupindisha ukweli kwa kuidanganya dunia.

Sasa comments zenu kwenye post zao ndio zinaweza kidogo kuwayumbisha na ndio maana sometimes wanalazimika kufunga comments kwenye baadhi ya platforms.

Hawa machawa wa humu tukiwapotezea watakufa natural death kama kilichomkuta Kigogo wa X.

Kigogo wa X umaarufu wake uliisha baada ya watu kuamua kum ignore na kum unfollow.

Ikifanyika hii petition hapa JF nauhakika machawa wote watakimbia.
 
Vipi, hilo litasaidia kuficha ukweli kuwa haters wa Samia wote mliopo humu jf mlijificha uvunguni mwa vitanda vyenu siku ya maandamano?!!!!
Hili jiibwa nalo limetoka wapi? Wanaompenda huyo sheitwaani ni wanywa dawa wadogo waitwao chawa ambao hawana ubongo wa kutosha kujua baya na zuri. Pole sana chwa.
 
Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao.

Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu. Hawa machawa watatusababishia ugonjwa wa moyo hivyo ni bora kujiepusha nao. Nyuzi zao zinawasha hasira na maumivu na wao wanafurahia wakiona tunawaka hasira kwa kuchangia hizo nyuzi zao.

Mwisho naomba tuendelee kuwaombea mashujaa wetu waliotangulia mbele za haki na Mungu awape pumziko la milele.
Kwa mara ya kwanza tangu Dunia kuumbwa tunamshuhusia Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye sio Wakili na hajawai kupitia Law Schools yoyote.

Anaitwa Hamza Johari, Mzanzibar ambaye ni mteuzi wa Samia kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa Tanganyika, Huyu ndiye aliyesimamia uuzwaji wa Bandari zote za Tanganyika ikiwemo Bandari kuu ya DSM.💪🏿💪🏿💪🏿💯🔨
 
Hili jiibwa nalo limetoka wapi? Wanaompenda huyo sheitwaani ni wanywa dawa wadogo waitwao chawa ambao hawana ubongo wa kutosha kujua baya na zuri. Pole sana chwa.
Vp mkuu, na hili tusi litasaidia kuficha ukweli kuwa nyie haters wa Samia mliopo humu jf mlijificha uvunguni mwa vitanda vyenu siku ya maandamano?!!!!
 
Hivi wewe unavyodhani, unahisi Yericko hakutegemea aina ile ya comments?

Unafikiri anajali?

Watu aina ya machawa wanachoangalia wao ni engagement tu, hizo ishu za negative comments wengi
Naunga mkono hoja
 
Vp mkuu, na hili tusi litasaidia kuficha ukweli kuwa nyie haters wa Samia mliopo humu jf mlijificha uvunguni mwa vitanda vyenu siku ya maandamano?!!!!
Hakuna cha tusi wala kuficha. Unawezaje kuita watu wazima na akili zao haters wakati huu taifa linaomboleza vifo ambavyo vingeweza kuepukika kama siyo ushteni wa huyo anayefuga nyie machawa? Shame on you! Angekuwa ameuawa ndugu yako wafikiri ungeweza kuwa na guts za kutema huu upupu nyambaff we?
 
Hivi ni shetani ni nani, anayehamasisha matendo yanayopelekea umwagaji wa damu na mwishowe kufaidika na matendo hayo kwa kuyanakshi na kupata fedha kutoka nje au anayezuia, hata kama kwa nguvu, matendo yanayopelekea umwagaji wa damu?!!!
 
Shetani ni yule anayewadhulumu wenzake kwa kung'ang'ania ofisi yao wakati hawamtaki takatakataka hii. Umeleewa?
 
Back
Top Bottom