Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,174
- 18,884
Hahahahaha 😄Vipi, hilo litasaidia kuficha ukweli kuwa haters wa Samia wote mliopo humu jf mlijificha uvunguni mwa vitanda vyenu siku ya maandamano?!!!!
Hahahahaha 😄Vipi, hilo litasaidia kuficha ukweli kuwa haters wa Samia wote mliopo humu jf mlijificha uvunguni mwa vitanda vyenu siku ya maandamano?!!!!
Hivi wewe unavyodhani, unahisi Yericko hakutegemea aina ile ya comments?
Unafikiri anajali?
Watu aina ya machawa wanachoangalia wao ni engagement tu, hizo ishu za negative comments wengi haziwababaishi.
Sasa kama mtu amefikia hatua ya kuuza utu wake na kuamua kuwa chawa, unafikiri anaweza kubabaika na hizi comments zetu?
Watu ambao wanaweza kuletewa shida kwenye hizo comments ni top leaders ambao wanataka kupindisha ukweli kwa kuidanganya dunia.
Sasa comments zenu kwenye post zao ndio zinaweza kidogo kuwayumbisha na ndio maana sometimes wanalazimika kufunga comments kwenye baadhi ya platforms.
Hawa machawa wa humu tukiwapotezea watakufa natural death kama kilichomkuta Kigogo wa X.
Kigogo wa X umaarufu wake uliisha baada ya watu kuamua kum ignore na kum unfollow.
Ikifanyika hii petition hapa JF nauhakika machawa wote watakimbia.
Pole sana kwa maumivu ya miaka mingine mitano. Ushauri wangu, kamba za kujinyongea zimeshuka Bei ni tsh.500 tu.........very affordable by you. Kwanini uteseke?!!Shetani ni yule anayewadhulumu wenzake kwa kung'ang'ania ofisi yao wakati hawamtaki takatakataka hii. Umeleewa?
Yericko ni kijana wa hovyo mjinga,mpumbavu,fala na Tahira hana akili wala upeo wowote wakujibu hoja hoja.Hiyo sio democracy na free speech lakini tutaendelea kuwapiga spana kama leo Yericko hadi ameukimbia uzi wake mwenyewe🤣🤣
Hapan uki puuza hataka na watu wa ku engage nayeTukizipuuza tutawaongezea ujasiri. Hawa wanatakiwa wapigwe ngumi za uso mwanzo mwisho.
Mkuu hili liko wazi. Tafuta nyuzi ambazo za machawa humu ndani uone. Nyingi ya nyuzi hizo zina 0 comments. Nashauri pia hata tusijibizane nao kwenye discussions. Ukiona comment imekaa kichawa, iruke. Wakiona tunawapuuza wataacha kuandika nyuzi na ku comment ujinga.Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao.
Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu. Hawa machawa watatusababishia ugonjwa wa moyo hivyo ni bora kujiepusha nao. Nyuzi zao zinawasha hasira na maumivu na wao wanafurahia wakiona tunawaka hasira kwa kuchangia hizo nyuzi zao.
Mwisho naomba tuendelee kuwaombea mashujaa wetu waliotangulia mbele za haki na Mungu awape pumziko la milele.
Uchawa unalipa