Kuwajibu ndio lengo lao linakuwa limetimia. Tukiwapotezea watakuwa hata hawaanzishi nyuzi.Tukizipuuza tutawaongezea ujasiri. Hawa wanatakiwa wapigwe ngumi za uso mwanzo mwisho.
Kweli ni kuwapuuza tu.Kuwajibu ndio lengo lao linakuwa limetimia. Tukiwapotezea watakuwa hata hawaanzishi nyuzi.
Hapana. Tusipojibu watahisi hatuna hoja.Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao.
Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu. Hawa machawa watatusababishia ugonjwa wa moyo hivyo ni bora kujiepusha nao. Nyuzi zao zinawasha hasira na maumivu na wao wanafurahia wakiona tunawaka hasira kwa kuchangia hizo nyuzi zao.
Mwisho naomba tuendelee kuwaombea mashujaa wetu waliotangulia mbele za haki na Mungu awape pumziko la milele.
Hivi wewe unavyodhani, unahisi Yericko hakutegemea aina ile ya comments?Hiyo sio democracy na free speech lakini tutaendelea kuwapiga spana kama leo Yericko hadi ameukimbia uzi wake mwenyewe🤣🤣
Hili jiibwa nalo limetoka wapi? Wanaompenda huyo sheitwaani ni wanywa dawa wadogo waitwao chawa ambao hawana ubongo wa kutosha kujua baya na zuri. Pole sana chwa.Vipi, hilo litasaidia kuficha ukweli kuwa haters wa Samia wote mliopo humu jf mlijificha uvunguni mwa vitanda vyenu siku ya maandamano?!!!!
Kwa mara ya kwanza tangu Dunia kuumbwa tunamshuhusia Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye sio Wakili na hajawai kupitia Law Schools yoyote.Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao.
Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu. Hawa machawa watatusababishia ugonjwa wa moyo hivyo ni bora kujiepusha nao. Nyuzi zao zinawasha hasira na maumivu na wao wanafurahia wakiona tunawaka hasira kwa kuchangia hizo nyuzi zao.
Mwisho naomba tuendelee kuwaombea mashujaa wetu waliotangulia mbele za haki na Mungu awape pumziko la milele.
Hapana tukiwapuuza watajiona wapuuzi zaidi na kuingia mitini kwa aibu kubwa! Hakuna kitu kinauma kama KUPUUZWA!!!Tukizipuuza tutawaongezea ujasiri. Hawa wanatakiwa wapigwe ngumi za uso mwanzo mwisho.
Wamewatoa wenzao kafara.Vipi, hilo litasaidia kuficha ukweli kuwa haters wa Samia wote mliopo humu jf mlijificha uvunguni mwa vitanda vyenu siku ya maandamano?!!!!
Vp mkuu, na hili tusi litasaidia kuficha ukweli kuwa nyie haters wa Samia mliopo humu jf mlijificha uvunguni mwa vitanda vyenu siku ya maandamano?!!!!Hili jiibwa nalo limetoka wapi? Wanaompenda huyo sheitwaani ni wanywa dawa wadogo waitwao chawa ambao hawana ubongo wa kutosha kujua baya na zuri. Pole sana chwa.
Inasikitisha sana!!!Wamewatoa wenzao kafara.
Naunga mkono hojaHivi wewe unavyodhani, unahisi Yericko hakutegemea aina ile ya comments?
Unafikiri anajali?
Watu aina ya machawa wanachoangalia wao ni engagement tu, hizo ishu za negative comments wengi
Hakuna cha tusi wala kuficha. Unawezaje kuita watu wazima na akili zao haters wakati huu taifa linaomboleza vifo ambavyo vingeweza kuepukika kama siyo ushteni wa huyo anayefuga nyie machawa? Shame on you! Angekuwa ameuawa ndugu yako wafikiri ungeweza kuwa na guts za kutema huu upupu nyambaff we?Vp mkuu, na hili tusi litasaidia kuficha ukweli kuwa nyie haters wa Samia mliopo humu jf mlijificha uvunguni mwa vitanda vyenu siku ya maandamano?!!!!
Hivi ni shetani ni nani, anayehamasisha matendo yanayopelekea umwagaji wa damu na mwishowe kufaidika na matendo hayo kwa kuyanakshi na kupata fedha kutoka nje au anayezuia, hata kama kwa nguvu, matendo yanayopelekea umwagaji wa damu?!!!Hakuna cha tusi wala kuficha. Unawezaje kuita watu wazima na akili zao haters wakati huu taifa linaomboleza vifo ambavyo vingeweza kuepukika kama siyo ushteni wa huyo anayefuga nyie machawa? Shame on you! Angekuwa ameuawa ndugu yako wafikiri ungeweza kuwa na guts za kutema huu upupu nyambaff we?
Shetani ni yule anayewadhulumu wenzake kwa kung'ang'ania ofisi yao wakati hawamtaki takatakataka hii. Umeleewa?Hivi ni shetani ni nani, anayehamasisha matendo yanayopelekea umwagaji wa damu na mwishowe kufaidika na matendo hayo kwa kuyanakshi na kupata fedha kutoka nje au anayezuia, hata kama kwa nguvu, matendo yanayopelekea umwagaji wa damu?!!!