Wana JF naomba tusireply wala kujiengage na threads zozote za machawa


Naunga mkono hoja. Tuowaotozedhe majina yao. Tuanze na Lukas Mwashambwa.
 
Shetani ni yule anayewadhulumu wenzake kwa kung'ang'ania ofisi yao wakati hawamtaki takatakataka hii. Umeleewa?
Pole sana kwa maumivu ya miaka mingine mitano. Ushauri wangu, kamba za kujinyongea zimeshuka Bei ni tsh.500 tu.........very affordable by you. Kwanini uteseke?!!
 
Hiyo sio democracy na free speech lakini tutaendelea kuwapiga spana kama leo Yericko hadi ameukimbia uzi wake mwenyewe🤣🤣
Yericko ni kijana wa hovyo mjinga,mpumbavu,fala na Tahira hana akili wala upeo wowote wakujibu hoja hoja.

Mwanaume yeyote akigeuka kuwa chawa muhimu marinda yanakuwq mashakani. Akibisha atuoneshe marinda yake
 
Jambo moja nililolifanya juu ya jamii ya hawa machawa ni kuwa ignore wote
 
Mi sijawahi kuhangaika na thread zao aisee! Halafu kumbe wananjijua maana mpaka wanajibu! 🫢
 
Mkuu hili liko wazi. Tafuta nyuzi ambazo za machawa humu ndani uone. Nyingi ya nyuzi hizo zina 0 comments. Nashauri pia hata tusijibizane nao kwenye discussions. Ukiona comment imekaa kichawa, iruke. Wakiona tunawapuuza wataacha kuandika nyuzi na ku comment ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…