KwakweliMleta mada kuna uwezekano rafiki yako kahusika moja kwa moja kwenye tukio.
Yeye kukataa wito wa polisi na kuzima simu ni viashiria tosha kwamba jamaa kahusika directly ama indirectly
Anyways, Muda utaongea na ukweli utajulikana
Kwa polisi wetu wa Tanzania Mtu wa Mwisho kuwasiliana au kuonana na marehemu ndo mtuumiwa mkuu hakuna cha upelelezi ni kubashiri tu
Ya Geita niliitupa tu stendi mama
wewe Baba siko tayari kuwa mjane katika umri huu😄Ya Geita niliitupa tu stendi mama
Sasa si nilikuwa bado sijaisoma hii thread mamawewe Baba siko tayari kuwa mjane katika umri huu😄
rudi Stendi ukaitafuteSasa si nilikuwa bado sijaisoma hii thread mama
Hakuna kitu kibaya sana kama kumwambia mwanamke au demu wako kwenye simu njoo tuonane alafu ghafla auawe. Nakuambia hutokaa utoke hata ulipe ile sent ya mwisho kama huna connection inayoelewekaJamani, Jamani
Wapendwa wa humu narudia tena, Chana au haribu kabisa tiketi au karatasi yoyote yenye taarifa zako sahihi kwa usalama wako.
Niko hapa Police Kimara, rafiki yangu wa kiume amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya tiketi yake ya ki-electronic ya basi moja kutoka Arusha kuja Dar kukutwa kwenye tukio la uhalifu Kimara Bucha.
Yeye rafiki yangu anasema baada ya kushuka Mbezi Magufuli stendi, aliamua kuikunja na kuitupa tiketi yake karibu na lango la kutokea na baada ya hapo akaendelea na safari ya kuelekea kwake Tegeta.
Anasema zilipita siku 2 akapigiwa simu na police kuwa anahitajika kituoni Kimara.
Anasema hakwenda kwa kuhofia huenda ni watu wasio wema kisha akazima simu.
Anasema kesho yake anashangaa kuona police wako nyumbani kwake na wakamuweka chini ya ulinzi kwa kosa la uhalifu uliotokea maeneo ya Kimara bucha.
Na anasema walihisi walimpata kupitia Facebook, (mutual friend mmoja akatafutwa kisha akawaelekeza kwake).
Rafiki yangu si mtu wa kujichanganya sana na watu. Iwe usiku au mchana, akiwa ndani hujui na wala akienda kibaruani hujui.
Anasema ahusiki na tukio na wala hajafanya uhalifu wala kuwa na rekodi yoyote ya uhalifu.
Hapa tunashindwa cha kufanya.
Hatujui kama kweli kahusika au lah!
Sisi tunajua ahusiki ila binadamu hubadilika.
Ila maadam iko mikononi mwa jeshi la polisi tutajua tu hatma yake na wahusika halisi
Chana au haribu kabisa karatasi/tiketi ya basi/meli/treni/ndege/CV/copy yako ya NIDA na nyinginezo zenye taarifa zako sahihi ili kuepuka kupata matatizo.
HIVI TICKETI HIZI UNAZOENDA NA KUTAJA JINA NA NAMBA YA SIMU BASI NI TICKETI?Ndio, na ndio maana nikasema 'binadamu hubadilika'
Lakini tiketi kweli ni yake na imekutwa eneo la vita...how🤷♀️?
Hii sikuzote niko makini nayo.Hata vocha ya karatasi , chana vipande vipande tupa.
Hii sikuzote niko makini nayoHata vocha ya karatasi , chana vipande vipande tupa.
Umenielewesha vizuri sanaUshauri wangu kwa mtu anayeitwa mahali popote na mtu/watu asiowajua ajitahidi kwenda na watu wengine,atoe taarifa kwa ndugu zake,marafiki au jamaa zake kwamba nimeitwa mahali fulani kuondoa dhana ya kwamba niliitwa ila nikaogopa kwa kudhani kwamba nimeitwa na watu waovu,kumbe unatenda kosa la kukaidi kuitikia wito halali wa Polisi.
Kuna siku nilikuwa ninakatiza mtaani alfajiri sana,mara nikasikia ninaitwa "Oyaaa simama mahali hapo ulipo,Wapi saa hizi?" Nikimulikwa na tochi machoni,nikasimama nikidhani ni Polisi wako doria!!
Nakuja kushtuka nimezungukwa na watu wana mapanga, nondo halafu wamevaa vikaptula vifupi,vifua wazi wamejipaka oil mwili mzima,kumbe ni Vibaka.
Kilichonisaidia sikuogopa, nilijikuta ninasema ninaenda kazini nimewaacha masela wangu bado wamelala, wakadhani ninafanya kazi kama zao. Maana waliniuliza upo kundi gani,nikataja majina ya marafiki zangu,lakini wakawa wanashangaa, wanaangaliana tu.
Bahati nyingine nilikuwa nimevaa kawaida sana wakanithaminisha wakaona sina cha kupoteza. Wakaniacha.
Kwahiyo rafiki yako anaweza kuwa hahusiki ila hofu ya kuitwa Polisi ndio ilimfanya aogope kuitikia wito,kumbe njia aliyoitumia haikuwa sahihi.
Mungu amsaidie alimalize salama.
Kutunza nyaraka zenye taarifa zetu ni muhimu sana dunia imeshaharibika,mtu anaweza kuchukua tiketi, vocha iliyotumika, kitambulisho akakitupa sehemu lilipotendeka tukio la uhalifu ilimradi tu uitwe kusaidia upepelezi, mpaka ijulikane hukutenda kosa tayari umeshapoteza muda wako ambao ungeutumia kufanya jambo la msingi.
Hapa kuna mambo kadhaa ya kutafakari;Jamani, Jamani
Wapendwa wa humu narudia tena, Chana au haribu kabisa tiketi au karatasi yoyote yenye taarifa zako sahihi kwa usalama wako.
Niko hapa Police Kimara, rafiki yangu wa kiume amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya tiketi yake ya ki-electronic ya basi moja kutoka Arusha kuja Dar kukutwa kwenye tukio la uhalifu Kimara Bucha.
Yeye rafiki yangu anasema baada ya kushuka Mbezi Magufuli stendi, aliamua kuikunja na kuitupa tiketi yake karibu na lango la kutokea na baada ya hapo akaendelea na safari ya kuelekea kwake Tegeta.
Anasema zilipita siku 2 akapigiwa simu na police kuwa anahitajika kituoni Kimara.
Anasema hakwenda kwa kuhofia huenda ni watu wasio wema kisha akazima simu.
Anasema kesho yake anashangaa kuona police wako nyumbani kwake na wakamuweka chini ya ulinzi kwa kosa la uhalifu uliotokea maeneo ya Kimara bucha.
Na anasema walihisi walimpata kupitia Facebook, (mutual friend mmoja akatafutwa kisha akawaelekeza kwake).
Rafiki yangu si mtu wa kujichanganya sana na watu. Iwe usiku au mchana, akiwa ndani hujui na wala akienda kibaruani hujui.
Anasema ahusiki na tukio na wala hajafanya uhalifu wala kuwa na rekodi yoyote ya uhalifu.
Hapa tunashindwa cha kufanya.
Hatujui kama kweli kahusika au lah!
Sisi tunajua ahusiki ila binadamu hubadilika.
Ila maadam iko mikononi mwa jeshi la polisi tutajua tu hatma yake na wahusika halisi
Chana au haribu kabisa karatasi/tiketi ya basi/meli/treni/ndege/CV/copy yako ya NIDA na nyinginezo zenye taarifa zako sahihi ili kuepuka kupata matatizo.
Jamani, Jamani