Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengine kuchangia bila matusi huwa mnapungukiwa nn?Pumbafu mnadhani huku Dar ni sawa na Kolomije!!
Wakazi wengi wa Dar wana akili.
Kura wanapiga wajumbe wa mkutano. Unaweza kuwa mgombea na usiwe mjumbe wa huo mkutanoKwani mgombea hajipigii kura mpaka upate 0 mkuu? Pole.
Kapata kura 2Mashinji naye si amechukua form jimbo hili?
Vipi naye hajatoboa au anasubiri hisani ya mwenyekiti..
Kwa sababu huyu ni mnafiki wa hali ya juuHakika,hapa Napo analakutuambia.Katika Kila la bandiko lake "hudeclare interest",kumbe moyoni anafahamu ukweli..