FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Hongera kwa uthubutu paskali.Hatujui ya 2025 bado chance itakuwepo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Kaka jipange 2025 endelea kuwa mwanachama hai shiriki miradi ya chama katika Jimbo lako Kama mwanachama wakawaida na pia una jina kubwa sana hapa jamii forum ukubwa huo huo wa jina ukaonekane katika kata zote za Jimbo la kawe kwa wazee na vijana..2025 sio mbali
Mkuu, nisamehe bure tu, nimejikuta nacheka mpaka machozi 😂🤣ili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 0!.
AmethubutuHongera mkuu, ni hatua kubwa sana hii.
Amethubutu
Duh, yaani kama kila mgombea ana MTU wake basi mshindi anaweza kuwa na kura 4 tuuHongera umejitahidi ila uliingia sehemu siyo waombaji 170 wapiga kura 400 hapo ulitegemea kitu kweli,
Jitahidi usipate stree, ni mambo madogo madogo ila yanafikirisha...