Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Mkuu ni kweli lazima ufanye kitu katika jamii ili kujenga jina but nakuhakikishia inategemeana na mazingira ya siasa katika Jimbo hilo kwa kipindi hicho yamekaa vipi unaweza fanya hayo yote na usipate hata kura 1 nimeshuhudia haya kwa macho yangu mwenyewe kuna raia wamejitoa sana but mwisho wa siku wameangukia pua,akaja mtu mwishoni akakubalika ajaabu na hajawi fanya chochote katika jamii hiyo.
Mayalla hana tofauti na wasanii wanaohisi followers wake ndio watampigia kura.
 
Pole mkuu usikate tamaa ila tatizo huna damu ya si yaani kusema uongo, kuiba na rushwa ila usijali CV yako imefika kuna uteizi pia sifia chama msifie mzee baba utapata tu.
 
Back
Top Bottom