Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayalla hana tofauti na wasanii wanaohisi followers wake ndio watampigia kura.Mkuu ni kweli lazima ufanye kitu katika jamii ili kujenga jina but nakuhakikishia inategemeana na mazingira ya siasa katika Jimbo hilo kwa kipindi hicho yamekaa vipi unaweza fanya hayo yote na usipate hata kura 1 nimeshuhudia haya kwa macho yangu mwenyewe kuna raia wamejitoa sana but mwisho wa siku wameangukia pua,akaja mtu mwishoni akakubalika ajaabu na hajawi fanya chochote katika jamii hiyo.
Kaambulia kura 2 tu, yake na mkeweMashinji naye si amechukua form jimbo hili?
Vipi naye hajatoboa au anasubiri hisani ya mwenyekiti..
Sorry ndugu huyu FURAHA KAPAT KURA NGAPIAaaaah nasubiri hapa jina lako naona kimya una pitwa ata na furaha