Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Hivi ndo huyu niliskia ana milion 100 kwenye account sijui 10 atatoa kwa kila mtu sijui mkopo.

Shida walikuwa wanapewa mda mfupi kujieleza hadi wengine wanaishia kutaja majina tu na kuondoka
 
Hio pesa afadhali tungekunywa K-Vant maisha yakaendelea. Misuse of scarce resources is unacceptable
Kwakweli sikutegemea Kama Paskal angekuwa mccm...ovyo Sana huyu msukuma..kanichefua hatari..kumbe kwel alikua akijibamiza!?
Njoo tunywe tu kuwapongeza hawa walokuwa na vihedemswede...Jana na Leo jumla kvant 2😆😆!shame
 
Pascal Mayalla,

Mwana mkaidi hapewi pole.

Karibu tuendeleze mijadala yenye afya hapa JF. Tactic yako ya kujipendekeza kwa kumsifia Jiwe na kujipendekeza CCM is not working. Go back to the young YOU; Achana na kusifia sifia na kuabudu.

Mkuu wa ndo kipimo cha uhuru wa mtu kuamua na kutenda. Wewe Nani ambaye anakuhusu unamponda.
 
Naona hapo ulikuwa uwanja wa kutafutia milango tu hata mwenyewe ulijua hushindi lakini usijali hata safari ndefu huanza na hatua moja
 
Nikupe hongera kaka Pascal Mayalla Mimi binafsi nakupongeza kwa uthubutu, Nina uhakika kwenye jambo lolote jipya kuna mafunzo ndani yake. Na isitoshe nafasi ni mtu mmoja tuu isingewezekana wote mchaguliwe kuwa namba moja
 
Hizo milioni 10 ulizoahidi kwa nn usizigawe hapa kwa wana jf (hasa wale wasukuma mabahili) ili waache kutumia free basics na badala yake wanunue mabando?


Ni wazo tu ngosha
 
Back
Top Bottom