Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Pole sana kakangu Paschal Mayala. Mayala kwa kisukuma ni "NJAAA" 😂😂 ,usimbwambie mtu ni Siri yako!😂😂 pole sana PASKAL
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Dah, mkuu pole sana. Sio kwamba CCM ina wenyewe bali hukujipanga vizuri na wananchi wengi wapiga kura upande wa CCM hawakufahamu. Wewe ni mwandishi wa habari lakini wanaokufahamu zaidi ni members wengi wa JF na wanaofuatilia nchi inavyokwenda kwenye vyombo vya habari na magazeti. Lazima ufahamu kuingia kwenye siasa sio lelemama kama kujiunga na JF na kuanza kutoa matusi na mipasho. (Sio wewe binafsi lakini kuna wengi tu wameingia sio kwa nia ya dhati ya kuona haki inatendeka bali kutaka maslahi ya watu flani flani).

Mkuu usikate tamaa jipange ila fahamu kuingia siasa ni mbinu lazima ujipange, bado 2025 ipo njiani jitafakari kwa kina then ujitose. Usione DJ Mbowe anakula ruzuku ya Bill 8 ukafikiri wapiga zumari wengi waliomo humu wanafanya bure, there is a price sisi wengine ni mapenzi tu ya nchi yetu kuona haki inatendeka wala hatutaki vyeo.

BTW hiyo kura moja ulijipigia mwenyewe, vipi marafiki zako n.k.
 
Kama hujui hata ulichokuwa unakifanya ni haki yako kupata kura yako mwenyewe...uchaguzi bado mkuu ..sijui umegombeaje
 
VP rushwa uliyogawa ilikuwa kidogo? Unagawa bukubuku wakat wenzako wanagawa msimbazi tano tano?
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mimi nakupa hongera kwa kuthubutu. Pili usilaumu, usiumie, usilalame, kama mchakayo ulikuwa wa haki, uwe na amani na upongeze demokrasia ulivyochukua mkondo wake.
 
Huna hata aibu kafie mbele pasco mayala msaliti damu ya kusema lisu alijipiga risasi itakuandama.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Kwendra zako huko. Mchumia tumbo waheeed.
I once told you i hate you.
Waiter ongeza ingine...
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mkuu Pascal Mayalla inamaana umejipigia mwenyewe kura? Hukueleweka hata kwa wajumbe hata 20? Daaah
 
Nilikua sijajua kama upo mzee hongera kwa kuongeza uzoefu katika ulingo wa siasa anko ...aluta continua[emoji123]
 
Pole Sana kaka. Jipange Next Time. Nimekuona Hapa una angaika Tu.

Najiuliza Hapa. Inakuaje Kada Kama Wewe,katika Wajumbe 500 na Zaidi Unapata Kura Moja.kweli CCM Ya Sasa Baba Lao.

Hongera Mmepishana Kidogo sana na Mwijaku.
Mwijaku kapata ngapi mkuu?
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Ila CCM noma unakumbuka enzi zile lyatonga mrema za ubunge Temeke ilikuwa alipata kura moja ikabidi ajiulize hata mke wake alimsaliti akapigia chama pinzani.
 
Back
Top Bottom