Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kakangu Paschal Mayala. Mayala kwa kisukuma ni "NJAAA" 😂😂 ,usimbwambie mtu ni Siri yako!😂😂 pole sana PASKALWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Dah, mkuu pole sana. Sio kwamba CCM ina wenyewe bali hukujipanga vizuri na wananchi wengi wapiga kura upande wa CCM hawakufahamu. Wewe ni mwandishi wa habari lakini wanaokufahamu zaidi ni members wengi wa JF na wanaofuatilia nchi inavyokwenda kwenye vyombo vya habari na magazeti. Lazima ufahamu kuingia kwenye siasa sio lelemama kama kujiunga na JF na kuanza kutoa matusi na mipasho. (Sio wewe binafsi lakini kuna wengi tu wameingia sio kwa nia ya dhati ya kuona haki inatendeka bali kutaka maslahi ya watu flani flani).Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mimi nakupa hongera kwa kuthubutu. Pili usilaumu, usiumie, usilalame, kama mchakayo ulikuwa wa haki, uwe na amani na upongeze demokrasia ulivyochukua mkondo wake.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Kwendra zako huko. Mchumia tumbo waheeed.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mkuu Pascal Mayalla inamaana umejipigia mwenyewe kura? Hukueleweka hata kwa wajumbe hata 20? DaaahWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mwijaku kapata ngapi mkuu?Pole Sana kaka. Jipange Next Time. Nimekuona Hapa una angaika Tu.
Najiuliza Hapa. Inakuaje Kada Kama Wewe,katika Wajumbe 500 na Zaidi Unapata Kura Moja.kweli CCM Ya Sasa Baba Lao.
Hongera Mmepishana Kidogo sana na Mwijaku.
CCM ni ile ileeee oooo ni ilee ileeeeeWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Ila CCM noma unakumbuka enzi zile lyatonga mrema za ubunge Temeke ilikuwa alipata kura moja ikabidi ajiulize hata mke wake alimsaliti akapigia chama pinzani.Wanabodi,