KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Najua mleta mada alisema tusicheke.
Ni vigumu sana kujizuia kucheka.
Na kutoweza kujizuia kucheka sio kwa sababu hakuchaguliwa; sijui kama nitaeleweka hapa!
Asikate tamaa, teuzi muda wake bado. Jasho ni lazima litafutwa tu safari hii.
Kama wengi hawaelewi maana ya hilo alilofanya, i.e., ni njia ya kuingilia kwenye uteuzi unaofuata baada ya Oktoba.