Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Najua mleta mada alisema tusicheke.

Ni vigumu sana kujizuia kucheka.

Na kutoweza kujizuia kucheka sio kwa sababu hakuchaguliwa; sijui kama nitaeleweka hapa!

Asikate tamaa, teuzi muda wake bado. Jasho ni lazima litafutwa tu safari hii.

Kama wengi hawaelewi maana ya hilo alilofanya, i.e., ni njia ya kuingilia kwenye uteuzi unaofuata baada ya Oktoba.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Subiri teuzi. Tunajua hiyo ilikuwa gia ya kuingilia ili uonekane kwa wateuzi. Hongera sana kwa first stage
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Kwanza nakupa pongezi sana na wala sikupi pole ni hongera nyingi sana,na pia usihofu nata mwandishi mwenzio deo nsokolo kapata kura moja tu kule nsimbo alipoenda kugombea
 
Umetuaibisha hatuwezi acha kukubeza, umeshindwa jitifautisha kati ya great thinker na lower minded thinker, kuanzia Leo wewe sio great thinker tena, pia tumekujua wewe ni nzi wa kijani hatutaki tena hoja zako mfilisi, kafie mbali usukumani, mkabila mkubwa!
Naunga hoja..mnafiki hatari huyu jamaa...njaa mbaya sana aisee
 
Pole sana . Ila umethubutu.

Mara nyingine CCM SIO MAHALI SALAMA KWA MTU ANAETAKA KUISIMAMIA NCHI KWA KUTOA MICHANGO TUKUKA. Sasa wewe ulivyo na msimamo kuwa ccm usingepata hata kura moja. Huyo aliyekupigia nae sijui kama alilewa ama!!!
 
Back
Top Bottom