Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
CCCM wanifurahisha sana vidomo domo wote chaliiKwa hasira Leo lazima apige kondoo wanne kwa mpigo!
Kachanganyikiwa mpaka kaisahau iyo mojaPole sana, ila umepata moja sio sifuri
Hata yeye hakujipigia? Tumpongeze Pascal Mayalla kapata nyingi sana
Dooh!!!Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.
#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School
Shule: Makongo High school
Chuo : DIT
Reseach: Technician at International Institute of Tropical Agriculture (IITA)
Na Kwa sasa anaishi Dar es salaam
Mtoto wa dada yake Rais MAGUFULI.View attachment 1512951
Asante kwa kutupa mwangaHuyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.
#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School...