Mashinji hajawahi kuwa mwanasiasa makini.Pascal Mayalla kasema kapata kura 0 sasa hiyo moja mmeitoa wapi dk Vincent Mashinji ndo kapata kura 2.
KashindwaPole sana kiongozi Askofu nabii wa kupanua huduma sijui imekuaje huko.
😀😀😀Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Umevuna ulichopanda, haiwezekani Tundu lissu ashambuliwe kwa SILAHA ZA KIVITA namna ile kisha uje hapa kutetea WAHALIFU tena kwa hoja za KEJELI. Shetani hana rafiki, iko hivyo mdogo wangu paskali.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Uchakachuaji si ndio sera yenu.Ninaamini pale ukumbini tulikuwepo wanajf wengi japo hatufahamiani lakini tulichomtendea mwanabodi Pascal Mayalla siyo fair kabisa.
Baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika nilijua Pascal hawezi kupata kura 0 kwa sababu nilimpigia lakini sikujua kuwa hiyo ndio kura pekee.
Chadema wa hapa Jf wanapigana kampani hadi kwenye chaguzi lakini wana Lumumba sijui tunafeli wapi?
Nimekereka sana.
Maendeleo hayana vyama!
Hongera mkuu, ni hatua kubwa sana hii.
Na kujipendekeza kote umepata kura moja?Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mtu wa kaliba yako kweli ukaingia na gia ya kugawa hela? You're smarter than this.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Hahaha umesahau ile kauli ya Mwenyekiti wao aliyetoka ?Mtu wa kaliba yako kweli ukaingia na gia ya kugawa hela?
Acha unafiki. Pole ya nini ilhali alichukua maamuzi yasiyo na busara? Huyo Pasco ni mnafiki mkubwa na amevuna alichopanda. Sio huyu ambaye kila siku anahadaa hapa kuwa "hana upande" kumbe ni MATAGA? I hope he fails in his life too!
Bwasheee naona hapo unamchekaaa mayallaBwashee..... Msema kweli mpenzi wa Mungu!