Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

CCM kama hujawah kujishigulisha na mambo yao mengimengi ,et umetokea kusikojulikana waja kutafuta nafasi hiyo hahaaa

Mzee wangu na Uprof wake kaambulia kura 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nmemwambia, CCM achana nayo kama unataka uzeeke vzuri.
 
Wakuu Amanai iwe nanyi,

Naomba Mods msiuunge huu uzi, unasimama kama ulivyo, ni special, Maana unamhusu Member mwenzetu, tena a verified JF Member, namuongelea Kaka Pascal Mayalla.

Kwanza amejinadi katika Misingi ya Rushwa, kuwa atatoa 10M kwa kila kata. Aibu Kuu ni pale alipoambulia Kura moja tu.
CCM ni wepesi sana Mbele ya Halima Mdee.

Anaenda kuwakalisha wote kabla ya Sadaka ya Misa ya Kwanza
 
Back
Top Bottom