Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana na hongera kwa uthubutuWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!, na wenyewe wenyewe ndio sisi, mimi nikiwemo!. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.
Pili despite the facts ni njia gani walizotumia kushinda, the end justifies the means, nawapongeza kwa dhati washindi wote,
Na tatu hili nilisema kwa moyo wangu, sina kinyongo chochote kushindwa, naahidi ushirikiano, na ile ahadi ya kutoa TZS Milioni 100 kwa CCM, nitaitimiza kupitia fund raising na sio kutoka mfukoni kwangu, hivyo naahidi ushirikiano wa dhati na kuendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM.
Nipeni tu pole!.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
CCM Oye!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Uchaguzi 2020 - Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?
Uchaguzi 2020 - Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?
pole sana ulitegemea miujiza na hukwenda kuombewa kanisani ,,,,,, never give up .....mkuu ulifikiri siasa ni kama mchezo wa mpira unavua suruali unavaa bukta unaanza kupiga mpiraWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!, na wenyewe wenyewe ndio sisi, mimi nikiwemo!. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.
Pili despite the facts ni njia gani walizotumia kushinda, the end justifies the means, nawapongeza kwa dhati washindi wote,
Na tatu hili nilisema kwa moyo wangu, sina kinyongo chochote kushindwa, naahidi ushirikiano, na ile ahadi ya kutoa TZS Milioni 100 kwa CCM, nitaitimiza kupitia fund raising na sio kutoka mfukoni kwangu, hivyo naahidi ushirikiano wa dhati na kuendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM.
Nipeni tu pole!.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
CCM Oye!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Uchaguzi 2020 - Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?
Uchaguzi 2020 - Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?
Aiseee zile mbwembwe za kwenda kumtoa mdeeee kawe nazo hoi illa napenda ujasir wako na uthubutu wako toka ulipouliza maswali mazur pale ikulu nakmbka ilkua 2016Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!, na wenyewe wenyewe ndio sisi, mimi nikiwemo!. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.
Pili despite the facts ni njia gani walizotumia kushinda, the end justifies the means, nawapongeza kwa dhati washindi wote,
Na tatu hili nilisema kwa moyo wangu, sina kinyongo chochote kushindwa, naahidi ushirikiano, na ile ahadi ya kutoa TZS Milioni 100 kwa CCM, nitaitimiza kupitia fund raising na sio kutoka mfukoni kwangu, hivyo naahidi ushirikiano wa dhati na kuendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM.
Nipeni tu pole!.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
CCM Oye!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Uchaguzi 2020 - Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?
Uchaguzi 2020 - Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?
mkuu pole mkiambiwa tz ni muhimu kujenga upinzani madhubuti mnakataa ,upinzani ni fulsa nyingine za kuwapatia uongozi kwa wale wenye uwezo na utashi wa kuwaongoza wananchi nje ya chama kilicho madarakaniWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!, na wenyewe wenyewe ndio sisi, mimi nikiwemo!. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.
Pili despite the facts ni njia gani walizotumia kushinda, the end justifies the means, nawapongeza kwa dhati washindi wote,
Na tatu hili nilisema kwa moyo wangu, sina kinyongo chochote kushindwa, naahidi ushirikiano, na ile ahadi ya kutoa TZS Milioni 100 kwa CCM, nitaitimiza kupitia fund raising na sio kutoka mfukoni kwangu, hivyo naahidi ushirikiano wa dhati na kuendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM.
Nipeni tu pole!.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
CCM Oye!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Uchaguzi 2020 - Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?
Uchaguzi 2020 - Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?
Poleni sana mzee mwenzangu mimi nilienda kupima upepo pale vunjo kwa kuweka kambi zaidi ya mwezi mzima nimeamua kurudi mjini kuangalia fursa nyingine kwanza.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!, na wenyewe wenyewe ndio sisi, mimi nikiwemo!. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.
Pili despite the facts ni njia gani walizotumia kushinda, the end justifies the means, nawapongeza kwa dhati washindi wote,
Na tatu hili nilisema kwa moyo wangu, sina kinyongo chochote kushindwa, naahidi ushirikiano, na ile ahadi ya kutoa TZS Milioni 100 kwa CCM, nitaitimiza kupitia fund raising na sio kutoka mfukoni kwangu, hivyo naahidi ushirikiano wa dhati na kuendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM.
Nipeni tu pole!.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
CCM Oye!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Uchaguzi 2020 - Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?
Uchaguzi 2020 - Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?
hiyo ajenda ya kugawa hela ndio iliyomuangusha chini pwaaaa chini chaliPoleni sana mzee mwenzangu mimi nilienda kupima upepo pale vunjo kwa kuweka kambi zaidi ya mwezi mzima nimeamua kurudi mjini kuangalia fursa nyingine kwanza.
Ningekushauri ungeanza na Udiwani naona huko kungekufaa zaidi ili hizo milioni 10 zianze na kata yako.
Asante
Aaa wapi Pascal hawezi kuumia sawa na Lowasa, huyu alijaribu kupima upepo huwezi kumlinganisha navwatu walioitumikia ccm kwa nguvu na rafu kama akina LiwasaLeo jombaa unaonja machungu waliyopitia Lowassa na Membe mwaka 2015.
Lakini mchicha haujawahi kufika kama mbuyu.Kaka Mimi nakupa hongera kwa uthubutu, hata mbuyu ulianza kama mchicha
Pascal hakusoma alama za nyakati tangu day one alipo ambiwa kuwa Mayalla ni njaa kwa kisukuma
Kaka Mimi nakupa hongera kwa uthubutu, hata mbuyu ulianza kama mchicha
Pole. Kumbe, mkuu ulitanguliza ahadi ya rushwa. Hebu tupe uzoefu wako kwenye masuala ya rushwa kwenye huo mchakatoWanabodi,