Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
wanakuchokonoa sana KakaKiiza wangu eeee
Last edited by a moderator:
Nitakuwepo na nahisi ndo peke yangu nitakuwa single
maana naona watu wanaitana tu pea pea
Hehehehe! Ngoja nicheki na wajina wako nione kama ntapatamo kibali....\babu utaenda na wajina wangu au? nataka nikusindikize.
Na kaka yake GINESI!Hasa Ndyofu!
SheMale...
Hiyo list ipo wapi?
Watu wa Dar wanaongea sana...CCM imetuathiri na maneno
Bora umwambie kabisa huyo Asprin! Maneno yanamtoka utadhani kajiunga na Xtreme!
Mzima lakini Ba' Mchungaji?
naomba Mtambue uwepo wangu na naniliu....
Me nawasubiria tanga kwa hamu jaman
Uwepo wako na nani?
btw tunakutana lini na wapi kupanga!???!au mshaingia mitini
Dawa yake ipo, muda si mrefu atanyamaza. kama ushemeji ni kotekote bana, au lazima tutangaze humu?
Halafu hiyo safari ya Tanga!!! kwa nini mnaipanga sasa? mmeamua kuninyanyasa wakuu.
Mie naomba niwakilishe...Jitahidi punguza kazi mwisho wa mwaka upumzike kidogo..Kazi zipo tu kila siku hiziuweo wangu na wewe cacico na wengineo
Mi naomba kama una nafasi uwe cordinator, au member yoyote ajikeze mimi kwakweli ningefanya hivyo ila nimebanwa kweli na kazi na zina dead line
Mie naomba niwakilishe...Jitahidi punguza kazi mwisho wa mwaka upumzike kidogo..Kazi zipo tu kila siku hizi
na mimi nipo msinisahau jamani mtanipitia au nije dar?
Hehehehe! Ngoja nicheki na wajina wako nione kama ntapatamo kibali....\
Huwa hanaga utata kwa wajina zake
Afu naweee? Khaaaa!naomba update babu. nijiandae?