Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

Omba kazi tbc kwenye kipindi chao cha lulu za kiswahili, wasawhili wanaita hizo asilimia 'GOLDEN POINTS'

Niliwahi kuwepo nikadunga lugha za kisela nikawa nasahau wakanitema mazima hadi leo niko nataka kuhamia RTD kwa wazee wenzangu
 
Niliwahi kuwepo nikadunga lugha za kisela nikawa nasahau wakanitema mazima hadi leo niko nataka kuhamia RTD kwa wazee wenzangu


Lugha za kisharo kwi kwi kwi kwi ukome, nahuko endapo watakushtukizia tu, ngoja nidu ze nidiful.
 
Back
Top Bottom