Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,944
- 4,511
Achana naye huyo mtoto wa mama akiamka asubuhi anakuta kaandaliwa mezani na kubembelezwa ili ale,wakati wengine tukiamka na njaa zetu tunaingia mitaani kusaka noti...
Poa mkuu umesomeka
Achana naye huyo mtoto wa mama akiamka asubuhi anakuta kaandaliwa mezani na kubembelezwa ili ale,wakati wengine tukiamka na njaa zetu tunaingia mitaani kusaka noti...
Makoo si yatakauka hapo, hata ulainishe vp na mate wapi
utatumia vilainishi vya GAPCO
Ndio maana viriba tumbo haviwaishi...mnapenda vya dezo dezo
Hapo Valuu au kiloba kinahusika
mwambie huyo.
Shem afu simu yako ina matatizo gani?
Mbona haipatikani?
Ujanja wa bure kumbe mwatmia vimeo vya mchina.
Jumuisha jina langu hapo
wewe tena nisikuweke!
Upo kakabinamu.
Wakiongezeka nitawatangazia siku ya kikao.
Malindi hawajambo? Say hello to all
Nitatuma mwakilishi wangu.
Hello to All
Hapo Valuu au kiloba kinahusika
fanya hvo.
Halafu mbona Fidel80 mbahili hvo?
Hv hata kuhonga anahonga kweli?
Anyway tuyaache hayo.
Njoo PM huku wambea wengi shem.
hukawii kujumuisha na CHIBUKU
Nyambafff
Hatutaki wawakilishi