Fidel80 endeleeni na mipango, mie nitajumuika mwishoni, but michango nitawakilisha bila shaka.
Hivi unajua kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake?
Huna lolote ubahiri tu umekujaa.
Hasara roho pesa makaratasi.
Domo kubwa.
Kwa hyo?
Siwezi hudhuria kikao sehemu ambayo biya inauzwa 2500-3000/=
Huna lolote ubahiri tu umekujaa.
Hasara roho pesa makaratasi.
Domo kubwa.
Siwezi hudhuria kikao sehemu ambayo biya inauzwa 2500-3000/=
Michango gani unayotaka itoke?
Hapa zinakusanywa pesa za kwenda Tanga.
Kama uko tayari nambie.
Mpaka sasa nina majina ya watu sita tu
Hicho kikao msifanyie wanapo uza biya bei za kuruka
Hivi unajua kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake?
Basi tutafanyia sehemu ambayo bia inauzwa 5,000 au 7500
Uje. Mimi nitakulipia
Bei iliyopitishwa na mamlaka ya wanywaji Tanzania ni Tsh.1800/= kwa chupa
watu hawaendi kunywa BIA, bali kikaoni....hizo bia utakunywa kikao kikimalizika...
Ndio maana viriba tumbo haviwaishi...mnapenda vya dezo dezo
kama vile sielewi elewi ngoja ninawe uso kwanza.
Kwa nn nilipishwe biya 3000 wkt bei halali 1800?