Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

Wakuu wa hapa Dar es salaam kama mnakumbuka kule Arusha kulianzishwa mada ya safari ya kwenda tanga na kwa saada soma hii thread https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ha-wing-safari-ya-kufunga-mwaka-hii-hapa.html
Tunaomba kwawale walio na nia yakwenda tuweze kuji organize tuone hii safari yetu tunaipanga vipi tunaweza kukodisha Marcopolo moja tukaungana na wenzetu hivyo wale wenye nia toa details tuone niwapi tunaweza kukutana na kupanga!
Naomba michango yenu Mtambuzi Smile nivea calorine danzi Nicas Mtei King'asti na wengine endelea kuleta mawazo yenu tunawasubiri kwa hamu kwani muda ndo unazidi kuyoyoma.
KakaKiiza kama nivea anakuja basi mtanikuta Tanga siku tatu kabla nikiwa nawangojea kwa hamu lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Haya nimekuja mwenyewe!
Hehehee
Si nimekumiss sana aisee lol
Mzima? nimekuona unazunguka huku na huko na huku kama mawimbiiiiiiiiiii.....teh
Nimefurahi kukuona hope nitalogout soon
 
Last edited by a moderator:
Mi siku hizi mpole sana kaka Kaizer yan hata mawindo yangu ni ya kuvizia sana yan nimeshazeeka sana lol
Hapa nimemmiss Kipipi ukimuona mwambie nammisss mbayaaaaaaaaaaaa heheheheeeee Lily Flower atakuwa na usingizi tu mwambie amtafute Preta ampeleke kwenye dawa!

Alafu wewee ngoja kwanza zunguka huku uje usaini sensa umesema unaenda Tanga na nanii nivea au Madame B.
 
Last edited by a moderator:
He, si usubiri nikuite na wewe Kipipi? Kule kwetu Karagwe ,mtoto wa kike shurti uwe na aibu na subra kidogo! khaaa ngoja Bishanga aione hii
Heeeee Kaizer hii ni karne ya digital yan hakuna chenga wala kuanza kutafuta channel ukijua digits tu kitu hakikusumbui...sasa unataka Kipipi aanze mara oooh unaniita Kipipi mimi au ukimwambia ndio wewe atasema aku mi sitaki kwanza naogopa....!
Hayo mambo ya zamani ndio maana hata Bishanga anahangaika kila kona....wahaya bhana lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom