Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Vodacom,
Power 2u.
hapo nadhani unamaanisha M-Pesa! Lol...
Vodacom,
Power 2u.
usijali utasafirishwa kama mzigo au kifurushi
Mi hata fuso napanda
kifurushi huwa hakichagui usafiri....
Vodacom,
Power 2u.
Hata ukinitupia kwa kosta ya magaga sawa tu
Basi siku hiyo we jifanye utingo....
Naikumbuka sana Madame B. uwezo, nia na sababu ninayo ya kuhamishapo milima....huku nilipo, nimefundishwa pia kula na kufuta mdomo, jirani asijue kuwa leo tumekula sijui wali, kande au pilau....:smile:
Baada ya kusema hayo, pazia la hekalu likapasuka, ODM akainamisha kichwa chini akasema.... YAMETIMIA.

Mi siwezi kwenda mpwa huko mipododoless
Baada ya kusema hayo, pazia la hekalu likapasuka, ODM akainamisha kichwa chini akasema.... YAMETIMIA.
Shkamoooo Kaka Mkubwa :smile:
Hahahaaa...tanga si ndo nyumbani kwa malovee mpwa? halafu hawana mipododo??
BTW: endelea na ban yako kwanza
kaka kuna michakula ina shomboooo, hata unawe na limao haikati shomboye. Jirani mwenye pua ya kidhungu atakustukia tu, am just saying.Naikumbuka sana Madame B. uwezo, nia na sababu ninayo ya kuhamishapo milima....huku nilipo, nimefundishwa pia kula na kufuta mdomo, jirani asijue kuwa leo tumekula sijui wali, kande au pilau....:smile:
Nani mwenye jukumu lakutafuta chombo?
Heheheheheeeeee hapo sitii neno FilipoHah hah hah hah hah! JF Arusha sio mchezo. Njooni kwa wingi sana na tutafurahi sana kujumuika pamoja nanyi. Hasa wadada ..........................
kaka kuna michakula ina shomboooo, hata unawe na limao haikati shomboye. Jirani mwenye pua ya kidhungu atakustukia tu, am just saying.