Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Naona vijana wa Arachuga wameshaingia humu.....
Thread inageuka chit chat sasa hivi.....
Mi naangalia tu hapa
Mkuu wangu haipaswi kuwasema vibaya mashemeji zetu.
Wasingekuwa na dada tungeoa wapi?
Naona vijana wa Arachuga wameshaingia humu.....
Thread inageuka chit chat sasa hivi.....
Mi naangalia tu hapa
Wewe unafaa sana kuwa Msemaji wa Kampuni yangu kama siyo Ofisi yangu ya ubunge hapo 2015....
Sasa swali la mwisho na muhimu, maana nilikua nakuuliza hayo maswali ili kulitengeneza hili.
Inaonekana mtatumia Travelling Agency, Je hiyo kampuni hawana ofisi DA'SLAM au hawana wabia DA'SLAM ili nasi tuwatumie hao hao ili kurahisisha mambo? kama huna info jaribuni basi kuwasiliana nao na kuwauliza pleaseeeeee!!!
I see tour leader mipododo niaje ipo arif?
Mkuu wangu haipaswi kuwasema vibaya mashemeji zetu.
Wasingekuwa na dada tungeoa wapi?
Mkuu wangu haipaswi kuwasema vibaya mashemeji zetu.
Wasingekuwa na dada tungeoa wapi?
hakuna cha mpododo wala mpwaruro.....mambo ni mbere kwa mbere.......
itabidi...pole lakini.....
Jibu swali langu la msingi basi MUPENZI, hiyo Agency jijini DA'SLAM haiwezi kupatikana? If yes tutakuwa tumerahisisha kazi ya kuanza kukutana na mambo mengine maana tutaitumia Hiyohiyosisi wenyewe tunamaliza kila kitu....umesahau upo JF mkuu.....
Tutaona....mimi naendelea kutazama tu hapa...
Halafu mkuu unajua dirisha dogo la usajili kule kwetu limefunguliwa rasmi....linafungwa january 9th. Fanya ulete tuwili hivi.....kubalance, ofcoz na kukufanya uanze kuja mazoezini dagaadagaa.
nilikuwa nakupenda ila sikuwa najua ni kwa kiasi gani....sasa leo ndio nimebaini......28976.3336%.......
Shkamooo Kaka :becky:
...Kweli unachosema Preta! Na amesahau makao makuu ya JF ni Arusha.
Kama safari twendeni mafinga tukaweke kambi kwenye shamba la miti huko hali ya hewa imetulia na bila shaka tutaburudika zaidi.