Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
gari tunatoka nalo Chugga na kurudi nalo....si tumeamua kula bata bana.......
Okay...asante kwa jibu lako maridhawa
Kwa mantiki hiyo hata wadau wa DA'SLAM itawapasa kufanya kama ninyi....kukodi gari litakalotoka JIJINI na kwenda nalo TANGA, then kufanya mizunguko UPON request.
So hilo GARI/MAGARI ni ya Travelling Agency au ni yale MAJENEZA "Coaster"?
Kama ni Travelling Agency, ndio hao hao watakao husika kwenye kutafuta MALAZI?