Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

mwenzangu........ ngoja nijitulize mie, hata ruksa siombi tena.....
mtoto wa kike kutulia na la azizi, lol!

na ukiona Madame B anasema haendi tanga ujue anabaki kummendea teja wako. Alimmendea Paw siku ya besdei yake mi sina hamu, kama si MORNING GLORY, hali ingekuwa tete nadhani.
 
Last edited by a moderator:
Sijui nisiende maana watu wanavyogombaniana duuuh utadhani "sadaka lawe" ivi kuna jinsia jirani iko singo tujumuike wote?? Alafu tunakutana lini na wapi??
 
Hawa wanaotaka kuja Tanga toka Dar ni kina nani,watu wenyewe ukitaka kuwatembelea makwao wanakwambia uje na unga wako,maneno mengi lakini njaa kali,wacha nikabook fastjet nije peke yangu...
 
Last edited by a moderator:
na ukiona Madame B anasema haendi tanga ujue anabaki kummendea teja wako. Alimmendea Paw siku ya besdei yake mi sina hamu, kama si MORNING GLORY, hali ingekuwa tete nadhani.

King'asti acha wenge wewe.
Hujui kuwa kushea waume ndo khabari ya mjini kwa muda huu?
Na ukiniachia Paw hakika hatojuta.
 
Last edited by a moderator:
R'chugga wanaweza lakini dar nina mashaka na huu mpango. tuombe Mungu safari salama. mia
 
sijambo sana......karibu Majani Mapana......
Sema neno na roho yangu ipone....errr....naona ushasema.....
Wacha nizichange....am kumming.....kumming😱hwell:
 
Naona watu wanachakachua hii thread ila Mimi napendekeza tukutane ijumaa pale hongera saa kumi na moja!


Pale hongera au canteen ya ustawi wa jamii ijumaa hatuwezi kuongea sababu wanakua na liveshow so hatuwezi sikilizana sababu ya kelele za maspika na wacheza pool. tafuta sehemu nyingine. napendekeza pale mzalendo. mia
 
Back
Top Bottom