Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

kuna kitu nimekipenda hapa.....ngoja nifuatilie........

Tena kama wewe utakuwepo mi sikuji...

Dadangu huwa unanivurugia move sana ujue....

Afu ngoja nikuPM unipe mstakabali flani hivi......
 
KakaKiiza, ushauri wa Smile wa kukutana na kupanga nadhani ni mzuri na unapaswa kuzingatiwa...
Shem Madame B please kuja kipande hii
 
Last edited by a moderator:
hah hah hah hah hah! Unanikumbusha mbali sana Mkuu! Ila wife ndio tushakuwa mwili m1. Sasa sijui unataka kusemaje hapo!
Arif tumetoka mbali bwashee

Unalikumbuka tambo la mecco lilivokuwa linapiga mafruto
pale kitaa?

Naamini lile jamaa tumbo lake lilikuwa linajitengenezea flagyl yake lenyewe
 
Tena kama wewe utakuwepo mi sikuji...

Dadangu huwa unanivurugia move sana ujue....

Afu ngoja nikuPM unipe mstakabali flani hivi......

Babu acha mkwara, sema kama umekolea nikuunganishie dili tehe tehe.
 
Mi nawaangalia tu hapa......
Nangoja venue, atatokea Asprin akiwa amelewa tu.

Arif unafanya gani hapa? Utaharibu move ujue.......

Hahahaha niko makini. Vigezo vya mwaka 2009 kuzingatiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom