Nicas Mtei confirm utakuwepo!!!!
Utamwachia nani mitumbwi huko ziwani!
Hah hah hah hah hah! Mke wangu habadishanwi kwa chochote! Utalii ni wa mbugani na sio wa nyumbani. Koma kabisa! Hiyo LMM imenichekesha sana Mkuu! Ila hapa haiapply!
Ndugu yangu kama tumeweza kuwashea Kajwaula na Kondoro tutashindwa kuprove kwa mathematical induction na kuapply maclerian series kubadilishana hawa wanyama wenye asili ya binadamu wa kike japo kwa siku moja.
Think Filipo THINK
CC; Mwita Maranya.
mi nipo serias babu sasa?
I will be there Darling
Kumbuka makubaliano yetu. Mke wako mke wangu. Mke wangu shemeji yako.
Pafecto!!!!
Kazi ipo!! Mume wangu Filipo hapa ndio nataka kupima penzi lako!!!
Sasa arif, basi ntakugea cacico kama utamuweza nami ntakamatamo charminglady kama ataniweza.
Ndio undugu huu. Afu Mtambuzi tutamwacha ajimuvuzishe na Turbo Charger Madame B
Ndugu yangu kama tumeweza kuwashea Kajwaula na Kondoro tutashindwa kuprove kwa mathematical induction na kuapply maclerian series kubadilishana hawa wanyama wenye asili ya binadamu wa kike japo kwa siku moja.
Think Filipo THINK
CC; Mwita Maranya.
Same seat, same room, same bed.
hayo ni maneno tu kama ya Nicas Mtei! Hayatunyimi usingizi!!! Mimi na wewe mpaka kufa! Ameshindwa sweetlady ndio Asprin akusumbue!? Never!
Eti e? Same meal,same drink !!!
Sasa arif, basi ntakugea cacico kama utamuweza nami ntakamatamo charminglady kama ataniweza.
Ndio undugu huu. Afu Mtambuzi tutamwacha ajimuvuzishe na Turbo Charger Madame B