Ujanja wa bure.
Na hatukuelekezi ng'oo.
Sema neno na roho yangu ipone....errr....naona ushasema.....
Wacha nizichange....am kumming.....kumming😱hwell:
Hebu wana wa Dar tukutane jamani.
Kama kuna mwana Jf wa Dar na ambae angependa kwenda Tanga,tafadhali naomba uni-PM.
Au niachie Contact yako kule PM.
Niko serious.
Afu unitajie na Partner wako utakayeenda nae.
Mimi wa kwangu tayari yuko Arusha.

Sasa arif, basi ntakugea cacico kama utamuweza nami ntakamatamo charminglady kama ataniweza.
Ndio undugu huu. Afu Mtambuzi tutamwacha ajimuvuzishe na Turbo Charger Madame B
charminglady ni wa @C6
Shem mambo...u have my everisingi...ila patna sitaki
Shem mambo...u have my everisingi...ila patna sitaki
Saidia Fidel asafiri TA
mimi sio mtu wa kilauri hivyo chimbo kama hizo huwa sizifahamu unless zile maarufu na za barabarani...
Nguvu zako tu za kuhamisha milima uwe nazo mwanafunzi wangu.
We twende,mimi ninaenda kbs.
Afu unakumbuka ile ahadi yetu?