Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!


wanakuchokonoa sana KakaKiiza wangu eeee
 
Last edited by a moderator:
Bora umwambie kabisa huyo Asprin! Maneno yanamtoka utadhani kajiunga na Xtreme!
Mzima lakini Ba' Mchungaji?

Dawa yake ipo, muda si mrefu atanyamaza. kama ushemeji ni kotekote bana, au lazima tutangaze humu?
Halafu hiyo safari ya Tanga!!! kwa nini mnaipanga sasa? mmeamua kuninyanyasa wakuu.
 
Me nawasubiria tanga kwa hamu jaman

usijali Bela....utatutembeza Raskazone, Chuda, Sahare, Kisosora, M/Mapana na Barabara zote.
Halafu hivi kuna bustani flani hivi karibu na ofisi za jiji(zamani manispaa) bado ipo?...ni muda mrefu sijafika kipande hiyo lol
 
Yeah ntawaonyesha kote huko bado ipo mbona kuna garden nyingi mshindwe wenyewe
 
Uwepo wako na nani?
btw tunakutana lini na wapi kupanga!???!au mshaingia mitini

uweo wangu na wewe cacico na wengineo
Mi naomba kama una nafasi uwe cordinator, au member yoyote ajikeze mimi kwakweli ningefanya hivyo ila nimebanwa kweli na kazi na zina dead line
 
Dawa yake ipo, muda si mrefu atanyamaza. kama ushemeji ni kotekote bana, au lazima tutangaze humu?
Halafu hiyo safari ya Tanga!!! kwa nini mnaipanga sasa? mmeamua kuninyanyasa wakuu.

Si unajua JF Arusha utaratibu wetu ni lazima kuwe na tukio la kufunguia mwaka? Usijali sana. Ukija tutakufanyia pati yako.
 
uweo wangu na wewe cacico na wengineo
Mi naomba kama una nafasi uwe cordinator, au member yoyote ajikeze mimi kwakweli ningefanya hivyo ila nimebanwa kweli na kazi na zina dead line
Mie naomba niwakilishe...Jitahidi punguza kazi mwisho wa mwaka upumzike kidogo..Kazi zipo tu kila siku hizi
 
Mie naomba niwakilishe...Jitahidi punguza kazi mwisho wa mwaka upumzike kidogo..Kazi zipo tu kila siku hizi

najitahidi kweli tarehe 20 ntakuwa nimemaliza kwa kiasi kikubwa ntakuwa na muda wa kusocialized naomba ucheki na wadau wengine ili tuweze kufanikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…