Wana JF wa Morogoro tujuane hapa

Now ni samakisamaki, ni hatua chache from home, mie nina boonge la para linang'aaaaa hilihili linanifaa.

samaki samaki si jina jipya tu bana, afu wewe ukute ni jirani yule mwenge ngebe maana na yeye ana bonge la upara
 
samaki samaki si jina jipya tu bana, afu wewe ukute ni jirani yule mwenge ngebe maana na yeye ana bonge la upara

Huyo jirani yako km ana tege kam mbanio,bichwa kubwaaa na gutambi basi thats totaly me.
 
Hahahaaaaa! Khaah umenikumbusha mbaali, jf bwana!
Mpz na wewe ni wa morogoro?

Hahaha naona weekend hii bado mabalaa ya weaves na migutambi haijaanza

Moro ndo permanent settlement dear, huku miji ya watu nagongea tu
 
Hahaha naona weekend hii bado mabalaa ya weaves na migutambi haijaanza

Moro ndo permanent settlement dear, huku miji ya watu nagongea tu

Kumbe kama mimi! Ila now nipo likizo.
 
Aaah basi itabidi siku moja tutafutane tu kwa kweli tumdiscuss mito na gutambi gwake live teh

Kabisaaa, it ll be sooo wonderfull dear

Hahaaa nitawapiga miofa ya kufa mtu siku hiyo, ila duuuh sipati picha atoto atakavyokuwa nawaza nauli nitawatoa kiasi gani mwisho wa siku!! anaweza awe nasi physically tu lakini kumoyo anawaza tumalize meeting fasta ajue how much she has earned today!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…