Wana JF wa Morogoro tujuane hapa

Wana JF wa Morogoro tujuane hapa

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Ausindile?

Leo nimeona tujuane sisi wana Jf wa mkoa wa Morogoro ikiwezekana kutaja mahali ulipo tu.

Unaweza ukajikuta upo jirani na mwana jf mwenzako mkawa mnasaidiana kwenye shida na raha.

Mimi napatikana maeneo ya Kihonda.
Karibuni wana Morogoro wenzangu tujuane.
 
Nilihis tu huyu na majungu majungu yake atokea kwa watu fitini wa kingalu..hahahaaaaaa..Karibu Malinyi
 
Mimi nipo karibu na Afande sele.....misufini
 
Back
Top Bottom