WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
hivi lakini ni kwa nini PJ anaogopa fisi vile....dah next time tusiende maeneo yenye fisi....tutamkosa huyu
mh!lkn nawe umezidi uoga,,,nxt tym utakaa katikati ya finest na mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi lakini ni kwa nini PJ anaogopa fisi vile....dah next time tusiende maeneo yenye fisi....tutamkosa huyu
Wewe nae uko kimya mno...au kwa vile SaharaVoice alihama na ile sahani yako ya BABERQUE?
Mambo LD?..mzima weye?
Ulikuwa umelala hadi leo nini, maana nimekusaka vere vere.
Nambie safari ilikuwa poa?
Micing you gal!
Nikiwa mdogo walishawahi kunifanyia advertize ya kufa mtu, sitaki tena mzaha nao, weweee!hivi lakini ni kwa nini PJ anaogopa fisi vile....dah next time tusiende maeneo yenye fisi....tutamkosa huyu
Safari ijayo na mm mnialike ,au hizi tripu ni za kindugu(mmu)??
Kwa niaba ya members wote wa JF-HEADQUARTERS-ARUSHA, nasema AAAAMEEEN!.Acha kabisa Saharavoice huyu,
Mi mzima PJ, Mungu ni mwema tulifika salama,
Ila uchovu tu kwa kweli, na hivi tulichelewa kufika basi daaa!
Kikubwa tunawashukuru sana wapendwa kwa upendo wenu, tumefurahi sana kwa kweli.
Na tunajisikia kama tunadaiwa fadhila, kwa ukarimu na wema mliotuonesha.
Mbarikiwe sana.
Siyo majani ni miraaaa...mtu wangu!
Hahahahaaa.Nilikuwa mlimani nawaombea mambo yaende salama.Wiselady alinikimbia.Itabidi nishuke ili nijue nn kinaendelea duniani.sio za kindugu dear.....ni za wanaJF wote....tulikukosa sana....Wiselady aliniambia upo mlimani....shuka bana
Kwa niaba ya members wote wa JF-HEADQUARTERS-ARUSHA, nasema AAAAMEEEN!.
Nikiwa mdogo walishawahi kunifanyia advertize ya kufa mtu, sitaki tena mzaha nao, weweee!
Sasa si bora mimi, ulimwona yule mdada aliekuwa amekaa siti ya mbele kushoto alivyolowesha naniliu baada ya tembo kutaka kucharge...suruwale ya Jeans ndo ilimhifadhi, lakini mimi nilimsitukia....lol!
Ooooh my Goooosh...nasubirije hiyo PM!Ila PJ bana, ngoja ntaku pm
Hmethod, ile picha yangu ulonipiga na saharavoice naitaka tafadhali.
Habari ako bana, firstlady anakusalimu sana.
mh!lkn nawe umezidi uoga,,,nxt tym utakaa katikati ya finest na mimi.
Hmethod, ile picha yangu ulonipiga na saharavoice naitaka tafadhali.
Habari ako bana, firstlady anakusalimu sana.
Hmethod, ile picha yangu ulonipiga na saharavoice naitaka tafadhali.
Habari ako bana, firstlady anakusalimu sana.
Ooooh my Goooosh...nasubirije hiyo PM!
uSIKOSEE ukaituma kwa SaharaVoice, yeye muda huu kaniambia yuko bize anam'DIPU' Maty!
Ni kweli aisee, Hmethod anatakiwa awashukuru sana wewe na Chipukizi,,maana wakati wa purukushani ya tembo box la biskuti la chipukizi liliangukia kwenye mfuko wa Hmethod, akazila zote, na wewe ushukuriwe maana ulimwangukia kifuani kwake, na anasema hakusikia maumivu yoyote!😛arty:...anawashukuru sana.ha ha ha....halafu nimejaribu kuweka zile picha za yule tembo aliyekuwa anaenda kumfinya Hmethod nimeshindwa.......hmethod anatakiwa atushukuru sana mimi na chipukizi bila hivyo angemfahamu yule mwanatembo....kisawasawa
Hahahahaaa.Nilikuwa mlimani nawaombea mambo yaende salama.Wiselady alinikimbia.Itabidi nishuke ili nijue nn kinaendelea duniani.
Yaani hapo ni kama umetoa amri ya kijeshi....!ha ha ha ha, nitahakikisha sikosei aisee.
Kumbe Saharavoice ni Mar......... PJ, yani anam'dipu' Maty. Aisee imekula kwake.
Wala hata mpigia, na akimpigia ataipata fresh aiseee.
PJ mnunulie tu vocha ya Tsh 500/= ampigie.
kipenzi hujambo.....nafurahi sana kukuona hapa.....ni uhakika ulifika salama na unaendelea vizuri.....msalimie sana paka mweusi bana....mwambie alivyotaka kusababisha malumbano.....imekula kwake......JF ni zaidi ya keyboard