Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
hivi lakini ni kwa nini PJ anaogopa fisi vile....dah next time tusiende maeneo yenye fisi....tutamkosa huyu

mh!lkn nawe umezidi uoga,,,nxt tym utakaa katikati ya finest na mimi.
 
Wewe nae uko kimya mno...au kwa vile SaharaVoice alihama na ile sahani yako ya BABERQUE?

Mambo LD?..mzima weye?
Ulikuwa umelala hadi leo nini, maana nimekusaka vere vere.
Nambie safari ilikuwa poa?
Micing you gal!

Acha kabisa Saharavoice huyu,

Mi mzima PJ, Mungu ni mwema tulifika salama,
Ila uchovu tu kwa kweli, na hivi tulichelewa kufika basi daaa!

Kikubwa tunawashukuru sana wapendwa kwa upendo wenu, tumefurahi sana kwa kweli.
Na tunajisikia kama tunadaiwa fadhila, kwa ukarimu na wema mliotuonesha.

Mbarikiwe sana.
 
hivi lakini ni kwa nini PJ anaogopa fisi vile....dah next time tusiende maeneo yenye fisi....tutamkosa huyu

Nikiwa mdogo walishawahi kunifanyia advertize ya kufa mtu, sitaki tena mzaha nao, weweee!
Sasa si bora mimi, ulimwona yule mdada aliekuwa amekaa siti ya mbele kushoto alivyolowesha naniliu baada ya tembo kutaka kucharge...suruwale ya Jeans ndo ilimhifadhi, lakini mimi nilimsitukia....lol!
 
Acha kabisa Saharavoice huyu,

Mi mzima PJ, Mungu ni mwema tulifika salama,
Ila uchovu tu kwa kweli, na hivi tulichelewa kufika basi daaa!

Kikubwa tunawashukuru sana wapendwa kwa upendo wenu, tumefurahi sana kwa kweli.
Na tunajisikia kama tunadaiwa fadhila, kwa ukarimu na wema mliotuonesha.

Mbarikiwe sana.
Kwa niaba ya members wote wa JF-HEADQUARTERS-ARUSHA, nasema AAAAMEEEN!.
 
sio za kindugu dear.....ni za wanaJF wote....tulikukosa sana....Wiselady aliniambia upo mlimani....shuka bana
Hahahahaaa.Nilikuwa mlimani nawaombea mambo yaende salama.Wiselady alinikimbia.Itabidi nishuke ili nijue nn kinaendelea duniani.
 
Nikiwa mdogo walishawahi kunifanyia advertize ya kufa mtu, sitaki tena mzaha nao, weweee!
Sasa si bora mimi, ulimwona yule mdada aliekuwa amekaa siti ya mbele kushoto alivyolowesha naniliu baada ya tembo kutaka kucharge...suruwale ya Jeans ndo ilimhifadhi, lakini mimi nilimsitukia....lol!

ha ha ha....halafu nimejaribu kuweka zile picha za yule tembo aliyekuwa anaenda kumfinya Hmethod nimeshindwa.......hmethod anatakiwa atushukuru sana mimi na chipukizi bila hivyo angemfahamu yule mwanatembo....kisawasawa
 
Hmethod, ile picha yangu ulonipiga na saharavoice naitaka tafadhali.

Habari ako bana, firstlady anakusalimu sana.

Mi niko poa LD, naweza kukutumia hiyo pic thru ur email nitumie email yako kwa pm.
 
Hmethod, ile picha yangu ulonipiga na saharavoice naitaka tafadhali.

Habari ako bana, firstlady anakusalimu sana.

Firstlady sijamsikia tangu atoke huku! Yu mzima jamani?
 
Hmethod, ile picha yangu ulonipiga na saharavoice naitaka tafadhali.

Habari ako bana, firstlady anakusalimu sana.

kipenzi hujambo.....nafurahi sana kukuona hapa.....ni uhakika ulifika salama na unaendelea vizuri.....msalimie sana paka mweusi bana....mwambie alivyotaka kusababisha malumbano.....imekula kwake......JF ni zaidi ya keyboard
 
Ooooh my Goooosh...nasubirije hiyo PM!
uSIKOSEE ukaituma kwa SaharaVoice, yeye muda huu kaniambia yuko bize anam'DIPU' Maty!

ha ha ha ha, nitahakikisha sikosei aisee.

Kumbe Saharavoice ni Mar......... PJ, yani anam'dipu' Maty. Aisee imekula kwake.
Wala hata mpigia, na akimpigia ataipata fresh aiseee.

PJ mnunulie tu vocha ya Tsh 500/= ampigie.
 
ha ha ha....halafu nimejaribu kuweka zile picha za yule tembo aliyekuwa anaenda kumfinya Hmethod nimeshindwa.......hmethod anatakiwa atushukuru sana mimi na chipukizi bila hivyo angemfahamu yule mwanatembo....kisawasawa
Ni kweli aisee, Hmethod anatakiwa awashukuru sana wewe na Chipukizi,,maana wakati wa purukushani ya tembo box la biskuti la chipukizi liliangukia kwenye mfuko wa Hmethod, akazila zote, na wewe ushukuriwe maana ulimwangukia kifuani kwake, na anasema hakusikia maumivu yoyote!😛arty:...anawashukuru sana.
 
Hahahahaaa.Nilikuwa mlimani nawaombea mambo yaende salama.Wiselady alinikimbia.Itabidi nishuke ili nijue nn kinaendelea duniani.

asante mpendwa......maombi yalifika.....maana huko porini kama sio sala zako tulikuwa tufanywe kitoweo.......Derimto mpaka sasa hivi haijulikani yupo hospital gani.....presha ilishuka sana lakini anaendelea vizuri.....shuka tu ujionee mwenyewe
 
ha ha ha ha, nitahakikisha sikosei aisee.

Kumbe Saharavoice ni Mar......... PJ, yani anam'dipu' Maty. Aisee imekula kwake.
Wala hata mpigia, na akimpigia ataipata fresh aiseee.

PJ mnunulie tu vocha ya Tsh 500/= ampigie.
Yaani hapo ni kama umetoa amri ya kijeshi....!
Nishamtuma dogo ampelekee!...Kuna amri ingine ambayo utafurahi ukiniamrisha mamaaa?
Nakuskilizia!
 
kipenzi hujambo.....nafurahi sana kukuona hapa.....ni uhakika ulifika salama na unaendelea vizuri.....msalimie sana paka mweusi bana....mwambie alivyotaka kusababisha malumbano.....imekula kwake......JF ni zaidi ya keyboard

Daaa Mungu ni mwema Preta wangu tulifika salama, na mm nipo salama kabisa mpenzi,
Paka mweusi hatuwezi bana, akizidisha utani tunamuomba Paka Jimmy atusaidie najua tutamshinda tu.

Vipi lakini, umemuona bigirita ee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom