Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Yaani hapo ni kama umetoa amri ya kijeshi....!
Nishamtuma dogo ampelekee!...Kuna amri ingine ambayo utafurahi ukiniamrisha mamaaa?
Nakuskilizia!

Hakuna ingine baba, ila nashukuru tu kwa kumtoa Saharavoice, manake Maty hana utani na Mariooo kabisa bana.
 
Daaa Mungu ni mwema Preta wangu tulifika salama, na mm nipo salama kabisa mpenzi,
Paka mweusi hatuwezi bana, akizidisha utani tunamuomba Paka Jimmy atusaidie najua tutamshinda tu.

Vipi lakini, umemuona bigirita ee.

bigirita mpaka jana nilikuwa nae.....amegoma kuja huko kasema mambo yote yapo JF HEADQUARTERS.....sisi hatuna hiyana....tumemwambia aendelee kula raha
 
Mi niko poa LD, naweza kukutumia hiyo pic thru ur email nitumie email yako kwa pm.


okey, ntakutumia hmethod, na ufanye unitumie fasta manake hio ndo avatar yangu, from next year.
 
bigirita mpaka jana nilikuwa nae.....amegoma kuja huko kasema mambo yote yapo JF HEADQUARTERS.....sisi hatuna hiyana....tumemwambia aendelee kula raha

Ok, kwa hiyo yupo Mbagala ee.
 
Hakika nikirudi Tanzania hasa wale waishio Morogoro nitawafahamu wote na kushirikiana nao! Hivyo shaka sina sasa la kuwaona wa JF
 
Wala usijali PJ ye muache tu aanzishe afu ntakwambia yote alonambia.
HEHEHeeee...Una akili sana luv, hivi wewe utakuwa ulisoma chuo kimoja na mkwewe Obama pale Diclorodiphenyltrichloroethanyl eeh?
Akileta zake tu unanifowadia live.
 
Niliwaona kwa mbali nikasema ningefahamu mapema ningetoa mchango wangu na mimi nijumuike.Hongereni kwa kufanya shughuli hii na pia nimpongeze Max kwa kutoka straight hospitali bila kupumzika mpaka kufika Arusha, wana JF wa Arusha jamaa kaonesha kuwajali sana.
 

Wow! you did it.
 
Hakika nikirudi Tanzania hasa wale waishio Morogoro nitawafahamu wote na kushirikiana nao! Hivyo shaka sina sasa la kuwaona wa JF

mimi nakuhakikishia hata hapo ulipo wapo......huna haja ya kuja all the way to tz....tangaza nia uone jinsi itapokelewa
 

Thank you. Namungu akupe nguvu upone haraka. Japo natamani nijue uko kwenye doze ya nini.
 
jamani jamani....hivi kwa nini hamtaki kuelewa.....JF HEADQUARTERS ni Arachuga baby gal

Ahaaaa Pale Tegeta Kibaoni ee,
Asante baby gal kwa kunifahamisha,

Halafu ni jirani sana na nyumbani kwa Teamo.
 
mimi nakuhakikishia hata hapo ulipo wapo......huna haja ya kuja all the way to tz....tangaza nia uone jinsi itapokelewa

Preta nimekuelewa asante sana nitafanya hivyo!
 
Wow! you did it.

mweee mwee...daring hujambo......hivi umekujaga kupotelea wapi.....ni wewe tu ulikosekana.....sharubu, msumeno, wa juu, wa chini, masikio, chinene....wote walikuwepo...........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…