PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
Usianzishe maongezi mengineyo huko kwenye mail tena broda...nakuheshimu.Mi niko poa LD, naweza kukutumia hiyo pic thru ur email nitumie email yako kwa pm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usianzishe maongezi mengineyo huko kwenye mail tena broda...nakuheshimu.Mi niko poa LD, naweza kukutumia hiyo pic thru ur email nitumie email yako kwa pm.
Yaani hapo ni kama umetoa amri ya kijeshi....!
Nishamtuma dogo ampelekee!...Kuna amri ingine ambayo utafurahi ukiniamrisha mamaaa?
Nakuskilizia!
Daaa Mungu ni mwema Preta wangu tulifika salama, na mm nipo salama kabisa mpenzi,
Paka mweusi hatuwezi bana, akizidisha utani tunamuomba Paka Jimmy atusaidie najua tutamshinda tu.
Vipi lakini, umemuona bigirita ee.
Mi niko poa LD, naweza kukutumia hiyo pic thru ur email nitumie email yako kwa pm.
bigirita mpaka jana nilikuwa nae.....amegoma kuja huko kasema mambo yote yapo JF HEADQUARTERS.....sisi hatuna hiyana....tumemwambia aendelee kula raha
Usianzishe maongezi mengineyo huko kwenye mail tena broda...nakuheshimu.
Hujadhamiria...
Nia ya msingi ya JF si pahala pa kujifichaficha kama kichuguu cha NGUCHIRO..!..Ni mahala pa kusocialize, kubadilishana mawazo, kutoa hoja za kisomi na kitaaluma za kusaidia maendeleo ya nchi na kutoa majawabu ya matatizo mbali2 ya kijamii!
Hivyo tusione hatari kukutana, unless kama tuna matatizo binafsi ya ugomvi, almaarufu 'bifu', au kama tuna lugha mbaya majukwaani ambazo tunaona tukionekana zitatufanya tuonekane duni..
Thats me!
Ok, kwa hiyo yupo Mbagala ee.
Hmethod, ile picha yangu ulonipiga na saharavoice naitaka tafadhali.
Habari ako bana, firstlady anakusalimu sana.
HEHEHeeee...Una akili sana luv, hivi wewe utakuwa ulisoma chuo kimoja na mkwewe Obama pale Diclorodiphenyltrichloroethanyl eeh?Wala usijali PJ ye muache tu aanzishe afu ntakwambia yote alonambia.
Safari ijayo na mm mnialike ,au hizi tripu ni za kindugu(mmu)??
Mkuu.....kwanza nikupongeze sana kwa juhudi zako ambazo ndizo zimezalisha jambo hili tulilolifanya leo.....nimejaribu kupitia kwa harakaharaka kutathmini ni mtandao gani unaoweza kukutanisha watu kwa style hii nimeukosa.....ni jambo la kushangaza sana.....kuona watu wana upendo wa namna hii bila kufahamiana.....
Nikushukuru pia na wewe rasmi kwa kuacha shughuli zako na kuungana na sisi.....tumefurahi sana, na pia umetuongezea chachu ya kuifanya Jamii Forums iwe zaidi ya hapo ilipofikia.
Pia niwashukuru na members wale wote walioonyesha upendo wao wa kutoka Dar es Salaam kuja kuungana na sisi na wale wote walioshindwa kujumuika lakini walikuwepo na sisi kimawasiliano na kiroho.
Mwisho niwashukuru members wote wa Jamii Forums kwa upendo wao na Mungu awazidishie moyo huo huo wa upendo mlio nao.
Mkuu...tumekuweka kwenye sala zetu uweze kumalizana na dozi salama ili tuweze kuendelea kuwa na wewe katika jukwaa hii letu kwa ujumla.
JAMII FORUMS NI ZAIDI YA KEYBOARD
Hakika nikirudi Tanzania hasa wale waishio Morogoro nitawafahamu wote na kushirikiana nao! Hivyo shaka sina sasa la kuwaona wa JF
Wakuu,
Nipo Arusha sasa hivi na crew ya members wa JF toka Arusha na Dar. Maandalizi ni mazuri sana na maswali mengi yameulizwa na kujibiwa live. Ndo tunapata viburudisho baada ya session ya maswali na majibu ya takribani masaa matatu.
Ni jambo la kufurahisha sana kukutana na watu zaidi ya 20, kwa wakati mmoja ambao hamkuwa mnafahamiana kwa sura.
Kilichonifurahisha zaidi kila mmoja katoa maoni yake na yakachangiwa na wenzake, bahati mbaya nitawaacha kwani nipo kwenye dozi, lakini wana JF wa Arusha nawashukuru kwa moyo wenu huu!
Karibu sana mkuu!Hakika nikirudi Tanzania hasa wale waishio Morogoro nitawafahamu wote na kushirikiana nao! Hivyo shaka sina sasa la kuwaona wa JF
jamani jamani....hivi kwa nini hamtaki kuelewa.....JF HEADQUARTERS ni Arachuga baby gal
Usianzishe maongezi mengineyo huko kwenye mail tena broda...nakuheshimu.
mimi nakuhakikishia hata hapo ulipo wapo......huna haja ya kuja all the way to tz....tangaza nia uone jinsi itapokelewa
Wow! you did it.