Hapo sasa unatakiwa uingie PM umuulize kwa undani, maana huenda tuko na akina Dr.Ndodi hapa!Thank you. Namungu akupe nguvu upone haraka. Japo natamani nijue uko kwenye doze ya nini.
Hakuna ingine baba, ila nashukuru tu kwa kumtoa Saharavoice, manake Maty hana utani na Mariooo kabisa bana.
Karibu sana mkuu!
Kwa sasa uko wapi, Pemba?
Thank you. Namungu akupe nguvu upone haraka. Japo natamani nijue uko kwenye doze ya nini.
Nipo ughaibuni mbona umesema Pemba ?
HEHEHeeee...Una akili sana luv, hivi wewe utakuwa ulisoma chuo kimoja na mkwewe Obama pale Diclorodiphenyltrichloroethanyl eeh?
Akileta zake tu unanifowadia live.
LD, unanigeuka leo, basi kuanzia sasa mimi naangukia kwenye penzi jipya la WL, hivi karibuni tutambulishana rasmi.
Wiselady nisamehe maluv kwa yote. tugundiane kwenye penzi letu jipya.
Mimi na wewe mpaka milele.......nakupenda sana.bigirita mpaka jana nilikuwa nae.....amegoma kuja huko kasema mambo yote yapo JF HEADQUARTERS.....sisi hatuna hiyana....tumemwambia aendelee kula raha
aaaah PJ vijana wako lazima tuchangamke we si uliona wa-dar waitaka kutuzidi maarifa!
Nipo ughaibuni mbona umesema Pemba ?
Mimi na wewe mpaka milele.......nakupenda sana.
Habarini zenyu wooote. big babu wa ukaguzi wa yale mambo yetu nipo hewani sasa.
hahahaha...the finest ametapika kimoja pia.......tuvikutanishe viweze kufanya ufufuo wa vipepeo vingine bana.Bigirita shikamoo!!
Etiiii!! Weupe nawapenda, lakini weusi ni dawa ya roho bana!!!!
Mbona unakosea?? nitatapika kipepeo kimoja sasa hivi.
Mimi na wewe mpaka milele.......nakupenda sana.
Habarini zenyu wooote. big babu wa ukaguzi wa yale mambo yetu nipo hewani sasa.
Tena uiweke sebuleni
yani closer.....closerbaelezee bana.....we are vere vere
LD, unanigeuka leo, basi kuanzia sasa mimi naangukia kwenye penzi jipya la WL, hivi karibuni tutambulishana rasmi.
Wiselady nisamehe maluv kwa yote. tugundiane kwenye penzi letu jipya.
hahahaha...the finest ametapika kimoja pia.......tuvikutanishe viweze kufanya ufufuo wa vipepeo vingine bana.
hivi kumbe broda ulikuwa unamtaka na LD tena wakati unajua JUMAMOSI tulikuwa MIRONGOINE kwa akina WL kutoa kianzio?! LD, nakuruhusu uendelee na hmethod wako!
hivi kumbe broda ulikuwa unamtaka na LD tena wakati unajua JUMAMOSI tulikuwa MIRONGOINE kwa akina WL kutoa kianzio?! LD, nakuruhusu uendelee na hmethod wako!