Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Thank you. Namungu akupe nguvu upone haraka. Japo natamani nijue uko kwenye doze ya nini.
Hapo sasa unatakiwa uingie PM umuulize kwa undani, maana huenda tuko na akina Dr.Ndodi hapa!
 
Hakuna ingine baba, ila nashukuru tu kwa kumtoa Saharavoice, manake Maty hana utani na Mariooo kabisa bana.

LD, unanigeuka leo, basi kuanzia sasa mimi naangukia kwenye penzi jipya la WL, hivi karibuni tutambulishana rasmi.

Wiselady nisamehe maluv kwa yote. tugundiane kwenye penzi letu jipya.
 
Thank you. Namungu akupe nguvu upone haraka. Japo natamani nijue uko kwenye doze ya nini.

hoo hoo...protokali inasema.....siri ya dozi ni kati ya mgonjwa na dakitari....
 
Nipo ughaibuni mbona umesema Pemba ?

ha ha....yeye yupo mwanakwerekwe huyo....anatafuta ndugu zake waliopotea wakati visiwa vya Pemba na Unguja vinatengana....si unajua vilikuwa vimeungana ukafanyika mpasuko wa ardhi vikaachiana
 
HEHEHeeee...Una akili sana luv, hivi wewe utakuwa ulisoma chuo kimoja na mkwewe Obama pale Diclorodiphenyltrichloroethanyl eeh?
Akileta zake tu unanifowadia live.

ha ha ha ha!!!
 
LD, unanigeuka leo, basi kuanzia sasa mimi naangukia kwenye penzi jipya la WL, hivi karibuni tutambulishana rasmi.

Wiselady nisamehe maluv kwa yote. tugundiane kwenye penzi letu jipya.

Angalia Kimey asikutoe roho, tu kwa kweli.
 
bigirita mpaka jana nilikuwa nae.....amegoma kuja huko kasema mambo yote yapo JF HEADQUARTERS.....sisi hatuna hiyana....tumemwambia aendelee kula raha
Mimi na wewe mpaka milele.......nakupenda sana.

Habarini zenyu wooote. big babu wa ukaguzi wa yale mambo yetu nipo hewani sasa.
 
aaaah PJ vijana wako lazima tuchangamke we si uliona wa-dar waitaka kutuzidi maarifa!

Ha ha ha ha, nashukuru kwa kulitambua hilo,
Ila mi ntamwambia yote tu.
 
Mimi na wewe mpaka milele.......nakupenda sana.

Habarini zenyu wooote. big babu wa ukaguzi wa yale mambo yetu nipo hewani sasa.

Bigirita shikamoo!!

Etiiii!! Weupe nawapenda, lakini weusi ni dawa ya roho bana!!!!

Mbona unakosea?? nitatapika kipepeo kimoja sasa hivi.
 
Bigirita shikamoo!!

Etiiii!! Weupe nawapenda, lakini weusi ni dawa ya roho bana!!!!

Mbona unakosea?? nitatapika kipepeo kimoja sasa hivi.
hahahaha...the finest ametapika kimoja pia.......tuvikutanishe viweze kufanya ufufuo wa vipepeo vingine bana.
 
LD, unanigeuka leo, basi kuanzia sasa mimi naangukia kwenye penzi jipya la WL, hivi karibuni tutambulishana rasmi.

Wiselady nisamehe maluv kwa yote. tugundiane kwenye penzi letu jipya.

hivi kumbe broda ulikuwa unamtaka na LD tena wakati unajua JUMAMOSI tulikuwa MIRONGOINE kwa akina WL kutoa kianzio?! LD, nakuruhusu uendelee na hmethod wako!
 
hahahaha...the finest ametapika kimoja pia.......tuvikutanishe viweze kufanya ufufuo wa vipepeo vingine bana.

he he he! Salama lakini kaka, pole na uchovu wa safari aisee.
 
hivi kumbe broda ulikuwa unamtaka na LD tena wakati unajua JUMAMOSI tulikuwa MIRONGOINE kwa akina WL kutoa kianzio?! LD, nakuruhusu uendelee na hmethod wako!

Mmmmmm PJ acha tu, Saharavoice anavyo chakuchua akili zetu.Mi ndo maana nimemgeuka gafla kwa kweli.
 
Wapwaz, binamuz, ladies and gentleladies;
kwa niaba yangu binafsi niwashukuru Arusha JF wing (Kipapatio cha JF arusha), kwa idea nzuri.....ni mfano mzuri kuwa zaidi ya keyboard. Nafahamu kila mmoja wetu yupo self motivated na anaweka nguvu binafsi kwenye keyboard lakini zaidi katika kukutana na kujuana.

Kipapatio cha JF Arusha mmeonyesha mfano mzuri wa kuanza kuji-organize (mfahamu tu kuwa huku HEADQOURTERS tulianza muda mrefu na ndio maana ilikuwa rahisi kwetu kuja Arusha katika wingi wetu).

Mapokezi-----A
Suprise.........A
Ucheshi.........A++
Organization...A
Mahusiano......A
Mapenzi..........A
Urafiki.............A

Ni hayo tu........VERE VERE
 
hivi kumbe broda ulikuwa unamtaka na LD tena wakati unajua JUMAMOSI tulikuwa MIRONGOINE kwa akina WL kutoa kianzio?! LD, nakuruhusu uendelee na hmethod wako!

Nimeshaomba msamaha, labda kama mkosaji hasamehewi.
Leo nitamtoa out tumalize tofauti zetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom