Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Wapwaz, binamuz, ladies and gentleladies;
kwa niaba yangu binafsi niwashukuru Arusha JF wing (Kipapatio cha JF arusha), kwa idea nzuri.....ni mfano mzuri kuwa zaidi ya keyboard. Nafahamu kila mmoja wetu yupo self motivated na anaweka nguvu binafsi kwenye keyboard lakini zaidi katika kukutana na kujuana.

Kipapatio cha JF Arusha mmeonyesha mfano mzuri wa kuanza kuji-organize (mfahamu tu kuwa huku HEADQOURTERS tulianza muda mrefu na ndio maana ilikuwa rahisi kwetu kuja Arusha katika wingi wetu).

Mapokezi-----A
Suprise.........A
Ucheshi.........A++
Organization...A
Mahusiano......A
Mapenzi..........A
Urafiki.............A

Ni hayo tu........VERE VERE

hahaha,,love this,,,is vere vere!
 
pole na uchovu mydear,,,huyu sahara hebu endelea nae tu mie na maty hatuko kabsaaa,,maty ni wa aika mangi kwa hiyo utamiliki mwenyewe,,huyo method ni mpango wangu............,,mcng u gal

ha ha ha ha ha, WL kwanza asante sana dear, Mungu ni mwema tumefika salama,
Aisee WL, kumbe na nyie mshamtoroka Sahara gafla,
Ok ok, hmethod ni mpango wako kumbe, lakini kanambia, ntakuwa mother house,

Mpango wangu mins, mpango wa kando eeh
Nipe maelezo kidogo, hmethod ni father house somewhere?

Nisaidie WL coz nshakata tiketi ya kuja huko Ijumaa.
 
sasa LD naona umeanza wivu...............wivu ni dalili ya kwanza kwamba umeanza kupenda.
I am still watching where this is heading...........naona inaelekea kwenye PM

hahahahaaaa mwe! Umeona eeeee anavunja rule no 3 huyu lol
 
WL upo dada? miss you so much.Nasikia tu habari zako za Tarangire kwa mbali kuwa ulimwacha Bwana na ukateleza....

wow!mtumishi bana,,nimekukosa sana tukaambiana na ze fainest labda ww na kaizer mmejenga vibanda 3 mlimani!!nahtji kuongezewa nguvu za kiroho maana kazi imekuwa ngumu usipotee sana
 
niko poa sanai,,kuanzia sasa wewe ni mali ya sahara,,loner hajambo anaosha vyombo

Nyamaza WL, Paka Mweusi asisikie,
Mi nshamkimbia simtaki bana,

Mpe Lonar hi kubwa.
 
Hajafikisha salamu bana. Nimtwange faini nini ka ya vijisenti kadhaa!

yaani umpige faini kabisa nilimwambia wiki moja kabla na nahic yeye ndio sababu ya kukwama kwako aliomba ndumba ya kinigeria kwa preta. Pole na kuharibikiwa bana umekosa uhondo lol
 
ha ha ha ha ha, WL kwanza asante sana dear, Mungu ni mwema tumefika salama,
Aisee WL, kumbe na nyie mshamtoroka Sahara gafla,
Ok ok, hmethod ni mpango wako kumbe, lakini kanambia, ntakuwa mother house,

Mpango wangu mins, mpango wa kando eeh
Nipe maelezo kidogo, hmethod ni father house somewhere?

Nisaidie WL coz nshakata tiketi ya kuja huko Ijumaa.

hahaha,,uko vzr unaelewa haraka,,ni mpango wangu wa nje kimey mpango mzima,,basi na ww kama umeamua kumfanya mpango wa kando ni poa maana caring ni sharing,,twende pamoja
 
Namtafuta chipukizi, popote alipo ajitokeze natamani kumuona gafla.
 
yaani umpige faini kabisa nilimwambia wiki moja kabla na nahic yeye ndio sababu ya kukwama kwako aliomba ndumba ya kinigeria kwa preta. Pole na kuharibikiwa bana umekosa uhondo lol

Ah haya bana shukrani kwa kila ki2. Preta kumbe ulishiriki kuniblock pale karibu na kia ee. Poa ma mkubwa
 
hahaha,,love this,,,is vere vere!

yeah my dia vere vere indeed. Halafu mpe salam zangu nyingi sana loner nashukuru kwa kunilinda na kuni2nza halaf na hz usifikishe nitakupiga ban nimepewa umod kila ataeniuzi ban
 
hahaha,,uko vzr unaelewa haraka,,ni mpango wangu wa nje kimey mpango mzima,,basi na ww kama umeamua kumfanya mpango wa kando ni poa maana caring ni sharing,,twende pamoja

Sawa sawa WL, kumbuka kuzingitia sheria nyingine eeeh!
Mpango mzima uheshimiwe na watu wote.
 
Wiselady acha bana! Ukikuta watu wanamalizia kula wanasema ulizaliwa wakti wa njaa! Sasa mimi hapa nilizaliwa wakati gani. Mi naenda safari yangu tarehe 16/1. Nitakuwa pale Mto wa Mbu kwa night 2. Mto wa Mbu usiku kumekucha acha utani bana. Siku ya kwanza nitalala tu. Kesho yake nitaenda Ngorongoro. Siku ya tatu nitafanya game drive pale Manyara national park then mchana nitarudi Moshi. Maty karibu tujumuike pamoja.

dah!naweza kuimagine hiyo safari iakavyokuwa sweet!ntamshauri maty asiikose ila itabidi muende kama hanemuna,,hiyo overnyt ya mto wa mmbu inanitia shaka kutokana na mazingira,,tutembelee tena basi
 
yeah my dia vere vere indeed. Halafu mpe salam zangu nyingi sana loner nashukuru kwa kunilinda na kuni2nza halaf na hz usifikishe nitakupiga ban nimepewa umod kila ataeniuzi ban

ntafikisha mpenzi usije kunipa ban maana unaonekana una hasira!!haya mkakati tuliopanga umeshaanza kutekeleza?nilikwambia ni asbh na jioni
 
dah!naweza kuimagine hiyo safari iakavyokuwa sweet!ntamshauri maty asiikose ila itabidi muende kama hanemuna,,hiyo overnyt ya mto wa mmbu inanitia shaka kutokana na mazingira,,tutembelee tena basi

kwa kweli hii sitaikosa ila aika mangi ufanye mpango wa kuja na dumu la mbege ctaki kunywa vinywaji vingine vile vya rangi ya njano kwani vinafanza vibaya
 
ntafikisha mpenzi usije kunipa ban maana unaonekana una hasira!!haya mkakati tuliopanga umeshaanza kutekeleza?nilikwambia ni asbh na jioni

ule mkakati upo my dia nasubir hangover iishe ndio nianze lol
 
WL Nimejaribu kidogo hapa ulivyonikumbusha inaonekana ni vere vere maana ninavyojinyanyua kwa kulazimisha 2mbo lote latetemeka lol
 
Ha ha haaaaaaaaaa hii kali nitaanza kuitumia hii misamiati. Pretaaaaaaaaaaa upo!

nipo mpendwa.....kwanza pole sana kwa kukosa siku maalum kama ile.....ila kwa sababu sio mwisho tutakutana tena.......tulifurahi sana na ilikuwa nzuri sana....nadhani tukienda mlimani itakuwa bomba zaidi.....ngoja nianze kwenda gym kupata pumzi ya kupandia mlima
 
Dah! yani server zilikuwa down zote kwa wakati mmoja?
Mimi nilipata kampani ya MJ1 mwanzo mwisho, yeye hakulala kabisa......she was there for me.what a gal!

Babu mkagua..... umenikumbusha sever ya Matty ilivyotema loh.....hahahahah
Halafu saharavoice ulinimaliza ulitakakumpeleka Matty kulala kabla ya wakati loh............guyz it was vere vere kama tunasubiria free kick bana
 
dah!naweza kuimagine hiyo safari iakavyokuwa sweet!ntamshauri maty asiikose ila itabidi muende kama hanemuna,,hiyo overnyt ya mto wa mmbu inanitia shaka kutokana na mazingira,,tutembelee tena basi

Wala usihofu mto wa mbu nshawazoea. We wapita waulizwa kaka mchele kisa ugeuke umtizame ati! Ntakuja one day wallah tena.
 
Mabinti Preta, Wiselady, Loner and Lilyflower......................................mnafikiri sifa kuwa wazuri hivyo? waone vile

Derimto macare na malavidavi uliyaonyesha kwa kweli dah............I wish Mama wa Kwanza angekuwa hajatoa ile thread yake ya Heartbreakers..........mbona ningeweka kambi chalii yangu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom