Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
kwa kweli hii sitaikosa ila aika mangi ufanye mpango wa kuja na dumu la mbege ctaki kunywa vinywaji vingine vile vya rangi ya njano kwani vinafanza vibaya

Hiyo mbege ntaitengeneza mwenyewe afu nna ka kafriji ka kishkaji kunako mkoko itakuwa ya bridiiiiiiiiii.
 
Babu mkagua..... umenikumbusha sever ya Matty ilivyotema loh.....hahahahah
Halafu saharavoice ulinimaliza ulitakakumpeleka Matty kulala kabla ya wakati loh............guyz it was vere vere kama tunasubiria free kick bana

hi luv....mzima wewe
 
yaani hapa natafuta shukrani ya kukupa lakini zote naona hazina thamani, bado natafuta itakayokufaa. Vp mzima lkn yaani we na teamo mmefanya kaz kubwa sana ku2linda bado ku2fikisha salama wakat cc 2melala 2 mungu aendelee kuwatia nguvu
nangoja shukrani ilotathminiwa.................hujambo mjukuu.
 
Babu mkagua..... umenikumbusha sever ya Matty ilivyotema loh.....hahahahah
Halafu saharavoice ulinimaliza ulitakakumpeleka Matty kulala kabla ya wakati loh............guyz it was vere vere kama tunasubiria free kick bana

unasemaaaaaaaaaaaa! Maty aende? Huyu Saharavoice ntamwendea kwa babu pale msitu wa tembo. We cheza tu na wa2 hovyohovyo. Hivi huyu Saharavoice ndo yule anamkiwaga kwenye redio anauchuna sio. Anaitwa nani vile yule wa wototo wa shule nani tena?
 
Mabinti Preta, Wiselady, Loner and Lilyflower......................................mnafikiri sifa kuwa wazuri hivyo? waone vile

Derimto macare na malavidavi uliyaonyesha kwa kweli dah............I wish Mama wa Kwanza angekuwa hajatoa ile thread yake ya Heartbreakers..........mbona ningeweka kambi chalii yangu!!

ha ha...thank you dear kwa maoni haya........mimi najua vile nitakueleza.....sio hapa....sitaki mbu asikie
 
Mamii ndo nazinduka awamu ya pili wacha kabisa ................ jamani I had a lot of fun........looking forward to see you again Preta.

me too my dear........tunajipanga upya kuja huko kwenu kwa stail ya bomu la scud...tusubirini
 
Hukatizi KIA. Ulinzibia bure saharavoice kidogo achakachue. Na ww hukatizi kesho naamkia kwa babu!
 
Babu mkagua..... umenikumbusha sever ya Matty ilivyotema loh.....hahahahah
Halafu saharavoice ulinimaliza ulitakakumpeleka Matty kulala kabla ya wakati loh............guyz it was vere vere kama tunasubiria free kick bana

hahahaaa mwe huyu sahara huyu, habar ake lol
 
unasemaaaaaaaaaaaa! Maty aende? Huyu Saharavoice ntamwendea kwa babu pale msitu wa tembo. We cheza tu na wa2 hovyohovyo. Hivi huyu Saharavoice ndo yule anamkiwaga kwenye redio anauchuna sio. Anaitwa nani vile yule wa wototo wa shule nani tena?

Kaka tena Saharavoie alitoa offer ya kumbeba matty hadi Midway........what a romantic scene to witness loh.............. I widh ungekuwepo anyway pole kwa kuharibikiwa na gari bana.

Hahahah Fataki?? Hapana lol

Matty ameibatiza jina kile kinywaji cha Vaisi Roi sasa ni Voisi of Risoni loh anakilaani hadi kesho..............
 
Sasa si useme polepole bana! Roho inauma ati!
 
unasemaaaaaaaaaaaa! Maty aende? Huyu Saharavoice ntamwendea kwa babu pale msitu wa tembo. We cheza tu na wa2 hovyohovyo. Hivi huyu Saharavoice ndo yule anamkiwaga kwenye redio anauchuna sio. Anaitwa nani vile yule wa wototo wa shule nani tena?

Sijuiiii F.A.T.A.K.I
 
me too my dear........tunajipanga upya kuja huko kwenu kwa stail ya bomu la scud...tusubirini

I cant wait ......................kabisa cant wait

hivi Derimto angekuwa anakunywa Grants ingekuwaje vile tu ni Ndovu dah
 
Hiyo mbege ntaitengeneza mwenyewe afu nna ka kafriji ka kishkaji kunako mkoko itakuwa ya bridiiiiiiiiii.
yaan cpat picha hiyo siku ila angalia sahara asiione hachelewi kudumbukiza dawa kwan ashasema
 
Hukatizi KIA. Ulinzibia bure saharavoice kidogo achakachue. Na ww hukatizi kesho naamkia kwa babu!

ha ha...pole sana....siku ile nilikuwa kwenye zamu so sikuwa na namna.....ilinilazimu nikutoe wewe....next tym ni Saharavoice
 
Kaka tena Saharavoie alitoa offer ya kumbeba matty hadi Midway........what a romantic scene to witness loh.............. I widh ungekuwepo anyway pole kwa kuharibikiwa na gari bana.

Hahahah Fataki?? Hapana lol

Matty ameibatiza jina kile kinywaji cha Vaisi Roi sasa ni Voisi of Risoni loh anakilaani hadi kesho..............

hahahaaaa lol mwanajamii nimecheka mpaka basi ile voisi of rison kiboko bana kimey alinipa moja ilibaki mpaka sasa naingalia 2 pamoja na uroho wangu wote mwe mbona ilinifanza?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom